MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
...natamani kuuliza kwanini maandiko yanambana zaidi binti 'aachane na wa kwao,' 'amsujudie mume,' na yada yada nyinginezo, bila kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Mkuu Mbu wakati nasoma maandiko kwenye Biblia nilipokutana na neno "Umsujudie" nikawa najiuliza kwanini hawakusema "Umuheshimu"
...ndio maana mwanzo niliandika nisijekufuru!...Ona sasa?
Maandiko hutoa mifano ya wanyama, i.e punda, kondoo,...nk...
Ahh, ngoja nibakie msomaji kwanza, ...lol!
Mi nawazaga tu haya maandiko nani aliyaandika/vumbua/pokea toka kwa MUNGU, je alikuwa Me au Ke?
Hhahaha...utakyfa huku ukisubiria.Ila ukikubali kunisujudia mimi hata saa kumi na mbili leo haifiki.Naendelea kukusubiria mama lol!!!!
Hahahaha!! Lol!!!MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
Sio vizuri banaa wewe unataka kukiuka maandiko eheee lolzHhahaha...utakyfa huku ukisubiria.Ila ukikubali kunisujudia mimi hata saa kumi na mbili leo haifiki.
Partner ndio maana mpaka leo bado tunaitwa VIBURUDISHO na baadhi ya hawa kaka zetu.MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
We sheria ziliwekwa ili zivunjwe na mimi navunja hii.Sio vizuri banaa wewe unataka kukiuka maandiko eheee lolz
Partner ndio maana mpaka leo bado tunaitwa "VIBURUDISHO" na baadhi ya hawa kaka zetu.
Hahahaha!!! Leo umepiga cha SanawariWe sheria ziliwekwa ili zivunjwe na mimi navunja hii.
moskwito, plz rudisha avatar zinazokuhusu, unahatarisha usalama!
TF, thanks for a nice reminder, ukizingatia haya utakuwa mume mwema sana! Mungu akubariki
MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
Mbu hapa simo ngoja dada zangu MwanajamiiOne, Lizzy na Ashadii warudi hapa lolz
lol,...Avatar hii ni picha yangu jamani, hamuamini ee?...haya basi nitamrudisha mdudu...
AshaDii,...mmetoka mbali na huko mnakoelekea kama siko?!
Baadhi ya maandiko yanasema "mwanamke atapoanza kuchukua utawala wa dunia," ndio dalili za kiama!
Yaani tafsiri ya nyie dada/wake/mama zetu kwenye hivi vitabu vya dini mwaonekana waharibifu tuuu,...mnh....
Ahh, huyu The Finest sijui ndio nini kuleta maudhui haya
najihisi namkufuru Muumba tu...
Hhahaha...utakyfa huku ukisubiria.Ila ukikubali kunisujudia mimi hata saa kumi na mbili leo haifiki.
BE wadada wanasema vitabu vya dini vinam-favour sana mwanamume kuliko mwanamke kwa kuwa yeye ndio aliyeviandikaTF - naona umeamua kuachana na yale mambo yetu rasmi!
Dah! - mwacheni Mungu aitwe Mungu!
Mimi nitakuwa nina-refer kwenye maandiko tu lolz!!!
LOL...ngoja niipotezee maana. Hii 'thread' ikiendelea kubakia hapa leo natupiwa virago nje...
Sanawari..Sekei na Kijenge ya juu changanya!Hahahaha!!! Leo umepiga cha Sanawari
Well said MjukuuJamani mie nafikiri kinachomata hapo ni upendo.........kama nakosea tafadhalini nirudisheni kwenye msitari!
Lakini niaminivyo mie, hakuna utumwa mzuri kama utumwa wa mapenzi na hasa ukimpata bwana ajuaye kumtreat mtumwa wake!!
Penye pendo mioyo huimarika, penye pendo
Mbu hapa simo ngoja dada zangu MwanajamiiOne, Lizzy na Ashadii warudi hapa lolz
MJ sasa huo upendo kwenye dunia ya leo unapatikana kwa asilimia ngaipi?!Na ni nani anaepaswa kumpenda mwenzake kwa maoni yako?! Maana kitabu kinasema mume apende na mke aheshimu + kusujudia.Kwahiyo mume ampende mke ili apate kuheshimiwa na kusujudiwa alafu mke nae asujudu na kuheshimu ili apendwe.Nashangaa kwa nini aliyeandika hakuandika mpendane na mheshimiane.Jamani mie nafikiri kinachomata hapo ni upendo.........kama nakosea tafadhalini nirudisheni kwenye msitari!Lakini niaminivyo mie, hakuna utumwa mzuri kama utumwa wa mapenzi na hasa ukimpata bwana ajuaye kumtreat mtumwa wake!! Penye pendo mioyo huimarika, penye pendo