ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Zipo za kumwagaa 😢🙌🙌Zamani mbususu zilikua hazipatikani hovyo bila ndoa,ndio maana muowaji na muolewaji waligandana,
Sasa hivi mbususu mtaani bwerere,
Tatizo hiliZamani kabla ya kuoa au kuolewa,zilichunguzwa familia za wahusika ili kujua mzizi wa familia ya anayeolewa na anaye oa,siku hizi watu wanakutana KFC au Fesibuku kisha wana oana,
Ni kweli 50/50Zamani mke alimuheshimu mumewe na kumuona ni kiongozi wake,siku hizi wanawake wanshindana na waume zao na kutaka usawa,
Utandawazi 📌Tatizo sio hela bali ni tabia za watu,na huu utandawazi ndio umekuja kuharibu hata pale kulipokua kuna nafuu.
Kumbe ni Bible, sikujua kabisa Nilijua msanii tena wa zamani😎Ni mrefu saanaaaa kama una bible soma tu mkuu
Pole😢
Asante enjoy
Yan ni kama watu wenye ADHD😁 kila kitu wao wanajua.. Ujana maaji ya moto wacheni uwaunguuzeWamekufanyaje kijana😆
Lol😃Kumbe ni Bible, sikujua kabisa Nilijua msanii tena wa zamani😎
Polee againIla na wewe kwa kunitakia pole😓
Sio mbaya malizia sasaMovie yenyewe hata si kumaliza usingizi ulinichukua
Noma wajuzi wa mambo😃Yan ni kama watu wenye ADHD😁 kila kitu wao wanajua.. Ujana maaji ya moto wacheni uwaunguuze
Kwamba Emb rudia hapo..Jamaa walimu overrate sana aisee, labda kama kwa kila mwanamke alikuwa anaweka kichwa tu hahah.
Na ujue nyie wanawake nunu zenu zina tofautiana sana energy, kuna mwingine ukishafanya naye tendo, mwili wako unakuwa kama umekutana na kipigo kikali sana, nguvu unakuwa hauna kabisa, mwingine ukikutana naye unakuwa kama umegain kitu cha tofauti hivi, unajisikia poa sana.
Basi kumbe sikuwa makini Sunday schooolLol😃
Polee again
Sio mbaya malizia sasa
Hamna kitu hapo mbwembwe tuu na hype zisizo na misingiNoma wajuzi wa mambo😃
Sizitaki mbichi hiziHamna kitu hapo mbwembwe tuu na hype zisizo na misingi
Unataka zilizo iva?Sizitaki mbichi hizi
Yap! Mifano ni mingi sana.Mwanetu Samsoni alipigwa bonge la tukio!
Yusufu naye akachapiwa kidogo alete vurugu ikabidi atumwe malaika kumtuliza.
Yakobo alifanya kazi miaka 14 kumpata lahazizi wake Raheli.
Siamini kama zamani ilikuwa bora.
Yeah iko hivyo Mkuu.Kwamba Emb rudia hapo..
Kuna energy vampires na energy givers sio?
It's all about energy
Kwahiyo unadhani Sunday school mngefundiashwa hayo mambo ya Suleiman na wake zake?Basi kumbe sikuwa makini Sunday schoool
SawaWe msichana Emb uache tu, hizo pole.
Soma tena sio normal hata inasisimua sanaAah hata mzuka umekata kbs, story yake imekuwa normal sio kama kwenye reviews nilizo soma mtandaoni
Mzee wa kuchezesha kwenye moja na mbili umeeleweka mzeeHuyo suleiman mwenyewe alikuwa ana UMATE MATE...
mwanadamu kiasili tu kaumbwa kupenda vitu vizuri..
Kila mmoja wetu anapenda maisha mazuri ni vile tu tunaweza kusema na nafsi zetu, kulinda utu wetu, uanaume wetu etc
Labda ishu kubwa tu sasa hivi kuna wanaojiuza UNOFFICIAL, hawa wanajiuza kama hawajiuzi, lengo lao ni lile lile pesa tu..
Hata wewe leo uambiwe unichukue mimi PANGU PAKAVU na BAKHRESA utakimbilia kwa bakhresa, ukijipa moyo kuna dildo, ama ukihitaji utanitafuta kinyamsisi, nikushughulike...
Kuna demu humu alikuwa anasema bora kulia kwenye range, kuliko kucheka kwenye nini nini sijui.
Hadi wanaboaIla watoto wa elf mbil bwaana they know everything.
On 1 n 2.Mzee wa kuchezesha kwenye moja na mbili umeeleweka mzee
Hapana ninge jua hicho kitabu or part ya kitabu cha Bible. Hata hivyo nilisha skia stori zakeKwahiyo unadhani Sunday school mngefundiashwa hayo mambo ya Suleiman na wake zake?
Ww ushaitazama? Jamaa Ana daydream sanaSoma tena sio normal hata inasisimua sana
Acha kuukwepa mishale mwanikeHadi wanaboa
👊On 1 n 2.