Kabla ya ukoloni, kuna kabila lililokuwa tayari na mfumo wa elimu wa kusoma na kuandika?

Kabla ya ukoloni, kuna kabila lililokuwa tayari na mfumo wa elimu wa kusoma na kuandika?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nje ya kuwinda, kula nyama, kuzaliana, vita na kunywa pombe.

Kuna kabila lilikuwa na mfumo wa elimu au wote tumekuja kutolewa ushamba na wakoloni ?
 
Traditional education ilikuwepo tangu kale
 
Je, unafahamu lengo la kukufundisha haya yote?
 
Unazungumzia Kwa tz au katika jamii nzima ya Waafrica!?
 
Nje ya kuwinda, kula nyama, kuzaliana, vita na kunywa pombe.

Kuna kabila lilikuwa na mfumo wa elimu au wote tumekuja kutolewa ushamba na wakoloni ?
Tayari watu walikuwa wanajua kusoma na kuandika
Usisahau kabla ya ukoloni wazungu walituma
1. Explorers
2. Missionaries
3. Traders
Tayari kulikuwa na cultural exchange na watu walishaanza kujifunza kusoma na kuandika. Hakukuwa na ulazima wa kuwa colonized
Colonisation ilitokea kwa sababu walikuwa na tamaa na resources za Africa tu, sio kwamba lengo lilikuwa ni kuwapa Waafrika civilization
 
Nje ya kuwinda, kula nyama, kuzaliana, vita na kunywa pombe.

Kuna kabila lilikuwa na mfumo wa elimu au wote tumekuja kutolewa ushamba na wakoloni ?

BIla shaka wakati unasoma shule uliambiwa kuna informal na formal education...

Utaratibu wa mitaala ulioletwa na wazungu ni formal education, wakati elimu waliyojuzana mababu zetu ilikuwa informal (hata sasa ipo na itaendelea kuwepo)...

Ulipojifunza historia shule ya msingi na hata sekondari ulielezwa vitu kama michoro ya Kondoa, Isimani, pia kwenye jamii kama za Maya na Wamisri n.k vyote hivyo ni kielelezo cha namna mababu zetu walikuwa wakijielimisha kwa namna iitwayo informal...
 
Back
Top Bottom