Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? ๐Ÿค”๐ŸŒ

Sisi Watu ni sehemu ndogo mno ya Mazao yanayo patikana Hapa Duniani..

Na,ni kweli Binadamu tuna Ufahamu Mkubwa Unao pelekea kutaka Kufahamu Chochote kinacho Tuzunguka hapa Duniani.

Lakini mpaka sasa Tume gonga Mwamba wa Kimantiki Kutambua Chanzo halisi cha Huu Ulimwengu..

Wenda mbali na Fahamu zetu Kukawa na Pattern ndogo Inayo Tulimit kufikia Utambuzi tunao Utarajia..
 
Unaamini kuna watu wamewahi kuishi miaka 900+ ?
 
Atachanganyikiwa tu,
Nianze kumuuliza na hayo maji yaliyojaza Dunia nzima yalienda wapi, imekuaje bado tukaendelea kuwa na Sato wa maji baridi huko Victoria na Jodari wa maji ya Chumvi huko baharini kama maji yote yalichanganyika!
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ataacha ndala sasa hivi..!!
 
โ€ข Kwanini uko sahihi:

Ukisema "Kila kitu changamano kinahitaji muumbaji," alafu ukamtoa Mungu kwenye sheria hiyo bila ushahidi, unafanya Special Pleading. Ni kutumia vipimo viwili tofauti (double standard) ili kulinda hitimisho lako.

โ€ข Wanaomtetea Mungu wanajibuje:

Wanadai Mungu si changamano (complex), bali ni roho au nia thabiti isiyogawanyika (pure/simple mind). Kwa kuwa hana viungo wala molekuli, sheria ya "mifumo changamano inahitaji muumbaji" haimuhusu.

โ€ข Mkwamo wa Kimantiki:


Ukisema Mungu ni complex, unaingia kwenye mzunguko usio na mwisho wa kutafuta aliyemuumba Muumba (infinite regress).

Ukisema Mungu ni simple, unakwepa fallacy hiyo, lakini unapata kazi ngumu ya kueleza jinsi akili isiyo na viungo inavyoweza kuumba ulimwengu changamano hivi.
 
Huyo mtoto mjinga, mi kuna uzi wake mmoja alinichosha. Namuuliza maswali naye anaenda kuiuliza AI then anakuja na majibu.

Ikabidi nimwambie kama unataka tuelewane achana na AI kwanza. Jibu, jibu kama wewe.

Siku hizi humu jukwaani watu hawachoshi akili, anaitumia AI kumuandikia uzi na member wengine walivyo vichwa maji wanasifia wakati ni AI mtupu kaandika uzi..!!
 
Ulimwengu ni kila kitu pamoja na consciousness, upendo, chuki, maumivu, Sanaa, nyota, matetemeko, El Nino, energy n.k Ni kila kitu.
 
Hata mimi nilimwambia kutumia AI ni uvivu wa mtu kufikiri.

Kwa sababu AI iko programmed kutetea hoja zote za pande zote bila kuwa na msimamo wake binafsi.

AI haimalizi mjadala. Hivyo hamuwezi kufika muafaka.

Itazunguka zunguka sana hadi mwisho wa siku inahama kwenye mada.

Watu siku hizi hawataki kufikiri sana. Wanarahisisha tu mambo.
 
Una uthibitisho kwamba tuliumbwa kuzaliana au unafosi tu kwamba tuliumbwa kuzaliana?
๐Ÿ˜ Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako ๐Ÿ˜Ž
 
Imekuwa fashion sasa hivi jukwaani, wewe chunguza nyuzi nyingi ni AI

Ile ladha ya kusoma uwezo wa akili genuine ya mtu haipo tenaโ€ฆ!!

Mi nazipita tu saa nyingine naona michosho..
 
๐Ÿ˜ Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako ๐Ÿ˜Ž
Hakuna roho na wala hakuna nafsi.

Roho na nafsi ni dhana za kufikirika tu, wala huwezi kuthibitisha zipo.

Mwanaume anatoa sperm, mwanamke anatoa ovum.

Vinaungana mimba inatungwa, inakua kisha mtoto anazaliwa.

Hakuna UUMBAJI wowote hapo wa huyo Mungu.
 
Sahihi ndiyo maana ni ngumu kusibitisha imani ipi ni ya kweli mpaka yatimie
Yanaweza yasitimie pia, yani kwamba binadamu anaondoka kama kuku, mbwa au kitimoto tu na story yake inakuwa imeisha hapo (eternal nothingness).
Umewahi kulifikiria hilo pia?
 
Imekuwa fashion sasa hivi jukwaani, wewe chunguza nyuzi nyingi ni AI

Ile ladha ya kusoma uwezo wa akili genuine ya mtu haipo tenaโ€ฆ!!

Mi nazipita tu saa nyingine naona michosho..
Na maelezo ya AI yanaonekana tu.

Unajua tu hapa, nabishana na roboti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ