Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

Mutaendelea kulumbana bila kupata majibu ya maswali yenu mpaka pale mtakapoamini kwamba huu ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake vina mwenyewe yule aliyeviumba!!!!
Haturumbani tunajaribu kutengeneza hoja kwa kila mmoja kwa upande wake anao uelewa na kuamini pia nami na amini hivyo.
 
Hakuna mtu anayejua na mwenye majibu ya kueleweka mpaka sasa.
nimejibu maswali yenu wote mwanadamu yako hapa
 
Back
Top Bottom