Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? πŸ€”πŸŒ

😁 Sifosi hata wewe unajua lazima mwanaume apande mbegu katika tumbo la uzazi la mwanamke ndiyo mtoto azaliwe kuhusu uhai una jua kabisa hata nafsi na roho yako vinahisi viko katika mwili ulio tengenezwa katika tumbo la mama yako 😎
Kuku, ng'ombe, Mbwa, Paka na wanyama wengine nao wana nafsi na roho ?
 
Ulimwengu ni kila kitu pamoja na consciousness, upendo, chuki, maumivu, Sanaa, nyota, matetemeko, El Nino, energy n.k Ni kila kitu.
Mkuu, unaona hakuna haja kabisa ya kutafuta chanzo chochote nje ya ulimwengu huu, kwa sababu ulimwengu wenyewe tayari unajitosheleza na una kila kitu ndani yake?
 
Sawa, basi nikuulize swali unafahamu nini kuhusu kufariki kwa mwanadamu.
 
There was Solar Nebula...Sun was there before our planet
Kabla ya kuumbwa sayari zote (Milky way Galaxy) tunaambiwa kuna theory inaitwa The Big Bang theory ambapo laws of physics(Thermodynamics, Gravity, Density, Matter, Nuclear fusion) zote zilipoanza. Ukichimba zaidi unakutana na the Architect of those laws; God himself.
 
Umeuliza "ufahamu ulitoka wapi, na ulikuwa na ufahamu wa nini ikiwa hakuna kitu kingine kichokuwepo?"

Nani anaeuliza swali hilo? Ni wewe, au ni ufahamu unaouliza swali hilo?

Unapoendelea kuuliza "ulikuwa ni ufahamu wa nini ikiwa hakuna kitu kingine kilichokuwepo?"

Jiulize au labda fikiria hivi: vipi bila ufahamu mimi ningefahamu? Ningejuaje bila ufahamu?

Kwa hiyo, nafikiri swali si ufahamu ulitoka wapi. Swali ni, ni ufahamu unauliza ufahamu ulitoka wapi au ni, mimi naeuliza ufahamu ulitoka wapi?
 
Kufariki kwa binadamu ni mwili, viungo na ufahamu wa mwanadamu kuacha kufanya kazi.

Kifuatacho baada ya hapo ni binadamu kuoza na kuisha kabisa.
Maswali 3 mengine,
ufahamu huo unatokea wapi au katika kiungo gani,
Je mtu akiwa katika hali ya usingizi viungo haviachi kufanya kazi, mbona hafi sasa,
huzuni, chuki, furaha, kumpenda mtu, hofu hivi vitu unavihisi wapi au vinatokea wapi hasa?????
 
Maswali 3 mengine,
ufahamu huo unatokea wapi au katika kiungo gani,
Ubongo, brain 🧠
Je mtu akiwa katika hali ya usingizi viungo haviachi kufanya kazi, mbona hafi sasa,
Ubongo wa binadamu hufanya kazi hata mtu akiwa amelala.

Lakini kufa, Ubongo unastop completely.
huzuni, chuki, furaha, kumpenda mtu, hofu hivi vitu unavihisi wapi au vinatokea wapi hasa?????
Kwenye ufahamu wa Ubongo.
 
Ubongo, brain 🧠

Ubongo wa binadamu hufanya kazi hata mtu akiwa amelala.

Lakini kufa, Ubongo unastop completely.

Kwenye ufahamu wa Ubongo.
Sawa na hili ubongo huanza kutengenezwa baada ya wiki 3 baada ya kutungwa mimba lakini sayansi haijathibitisha uzoefu wa ufahamu huanza kufanya kazi lini swali je wiki hizi tatu kijusi hiki kinakuwa hai au hapa, na uhai huo unathibitishaje kuwa ni hai katika kijusi hiko
 
Kijusi kinakuwa hai ndio maana mimba ina endelea kukua.

Kijusi kikifa mimba inakuwa imeharibika na kijusi kinatolewa tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…