1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
-
- #161
Nakubaliana nawe kwamba ufahamu wa mwanadamu una mipaka. Lakini kutokuwa na majibu ya mwisho kuhusu mwanzo wa ulimwengu na kifo hakumaanishi kwamba hatujui chochote kuhusu mambo hayo. Sayansi imeeleza mengi kuhusu ulimwengu na mchakato wa kufa, ingawa maswali ya msingi bado yapo.Mimi huwa naamini kuna limitation ya ufahamu wa mwanadamu na mojawapo ya sehemu zinazothibitisha hayo ni hili la mwanzo wa kila kitu (dunia, ulimwengu n.k) na mwisho wa mwanadamu (mauti/kifo)...
Maarifa na elimu yote ya mwanadamu, haya mambo mawili yamekosa majawabu yakinifu toka kwa mwanadamu...
Ufahamu wa mwanadamu kuwa na limitation kuna husiana vipi na kuwapo Mungu?Mimi huwa naamini kuna limitation ya ufahamu wa mwanadamu na mojawapo ya sehemu zinazothibitisha hayo ni hili la mwanzo wa kila kitu (dunia, ulimwengu n.k) na mwisho wa mwanadamu (mauti/kifo)...
Maarifa na elimu yote ya mwanadamu, haya mambo mawili yamekosa majawabu yakinifu toka kwa mwanadamu...
Nimekuelewa. Hata hivyo, hoja yangu haikuwa kwamba uwepo wa ulimwengu unathibitisha moja kwa moja uwepo wa Mungu, bali unaweza kutumika kama msingi wa hoja ya kifalsafa inayohitaji kuchunguzwa. Kama hoja hiyo haikutoshelezi, tunaweza kuishia hapo bila kulazimishana kukubaliana.Logical non sequitur.
Una unganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Ulimwengu na Mungu.
Hivyo, Kutumia Ulimwengu kusema Mungu yupo ni kuunganisha vitu viwili visivyokuwa na uhusiano wowote ule.
Na hii ni logical fallacy ya non sequitur.
Pia,"Absence of evidence is not evidence of absence" ndio msingi unaoifanya sayansi iendelee kuwa wazi (open minded).
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.Sayansi inaposema hatuna ushahidi wa kilichotokea kabla ya Big Bang, haina maana kwamba hakuna kilichokuwepo. Ina maana tu kwamba rada za sayansi zimefika kikomo chake.
Hapo ndipo tunapokubaliana Kusema jambo haliwezi kuchunguzwa kisayansi hakumaanishi halipo, na wala hakumaanishi tumelitatua. Kuna ukweli mwingi uliopo nje ya uwezo wa darubini na maabara.
Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwepo kwa chochote?
Ni swali ambalo sayansi pekee haina uwezo wa kulijibu, kwa sababu sayansi inajibu jinsi gani kitu kimoja kinasababisha kingine (A inaleta B), lakini haiwezi kujibu kwa nini kuna "A" hapo mwanzo badala ya utupu kabisa (absolute nothingness).
Kama ulivyosema, tusichanganye mipaka ya sayansi na mipaka ya ukweli. Unapofika kwenye swali hili, sayansi inaishia mlangoni, na inalazimika kuwasha taa ya falsafa na imani ili kuendelea mbele.
Hapa kuna mitazamo miwili pekee ya kimantiki inayobaki mezani baada ya sayansi kufika kikomo chake.
1. Ulimwengu kama Ukweli wa Msingi (Brute Fact)
Kwamba ulimwengu upo tu, na hauna sababu yoyote ya kuwepo (Mtazamo ambao wengi wanaona hautoshelezi akili).
2. Sababu ya Kujitosheleza (Necessary Being/God).
Kwamba lazima kuna "Ukuu au Akili" iliyopo nje ya muda na nafasi, ambayo asili yake ni kuwepo, na ndiyo iliyosababisha vitu vingine vyote viwepo.
Adios!Nimekuelewa. Hata hivyo, hoja yangu haikuwa kwamba uwepo wa ulimwengu unathibitisha moja kwa moja uwepo wa Mungu, bali unaweza kutumika kama msingi wa hoja ya kifalsafa inayohitaji kuchunguzwa. Kama hoja hiyo haikutoshelezi, tunaweza kuishia hapo bila kulazimishana kukubaliana.
Ni kweli ni kama kuiambia picha thibitisha kuwa ulibuniwa na binadamu, kifupi niishie kusema kwa imani twafahamu kuwa tuliumbwa, kivipi hapo sijui ila naaminiKuna tofauti moja mkuu: emoji au video tunajua zilibuniwa na binadamu kwa sababu tuna ushahidi wa mchakato wake. Lakini kuhusu ulimwengu, swali ni hili: je, kuwepo kwa kitu kunathibitisha moja kwa moja kwamba kuna aliyekiumba? Hapo ndipo mjadala ulipo. Biblia inaeleza imani ya uumbaji, lakini kuthibitisha kuwa maelezo hayo ni ya kweli kunahitaji hoja zaidi ya mfano wa emoji.
Sayansi imeeleza mengi kuhusu ulimwengu na mchakato wa kufa, ingawa maswali ya msingi bado yapo.
Ufahamu wa mwanadamu kuwa na limitation kuna husiana vipi na kuwapo Mungu?
πππUmefika tayari? πΉ
Bado pacha wako K uzi uchangamke..!!
Unawajibu vipi wanaosema ulimwengu wenyewe ndio god (pantheism) ?"Absence of evidence is not evidence of absence" ndio msingi unaoifanya sayansi iendelee kuwa wazi (open minded).
Sayansi inaposema hatuna ushahidi wa kilichotokea kabla ya Big Bang, haina maana kwamba hakuna kilichokuwepo. Ina maana tu kwamba rada za sayansi zimefika kikomo chake.
Hapo ndipo tunapokubaliana Kusema jambo haliwezi kuchunguzwa kisayansi hakumaanishi halipo, na wala hakumaanishi tumelitatua. Kuna ukweli mwingi uliopo nje ya uwezo wa darubini na maabara.
Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwepo kwa chochote?
Ni swali ambalo sayansi pekee haina uwezo wa kulijibu, kwa sababu sayansi inajibu jinsi gani kitu kimoja kinasababisha kingine (A inaleta B), lakini haiwezi kujibu kwa nini kuna "A" hapo mwanzo badala ya utupu kabisa (absolute nothingness).
Kama ulivyosema, tusichanganye mipaka ya sayansi na mipaka ya ukweli. Unapofika kwenye swali hili, sayansi inaishia mlangoni, na inalazimika kuwasha taa ya falsafa na imani ili kuendelea mbele.
Hapa kuna mitazamo miwili pekee ya kimantiki inayobaki mezani baada ya sayansi kufika kikomo chake.
1. Ulimwengu kama Ukweli wa Msingi (Brute Fact)
Kwamba ulimwengu upo tu, na hauna sababu yoyote ya kuwepo (Mtazamo ambao wengi wanaona hautoshelezi akili).
2. Sababu ya Kujitosheleza (Necessary Being/God).
Kwamba lazima kuna "Ukuu au Akili" iliyopo nje ya muda na nafasi, ambayo asili yake ni kuwepo, na ndiyo iliyosababisha vitu vingine vyote viwepo.
Kiukweli vedas ndiyo naisikia kwako nitaifuatilia nione inasemaje pia kuhusu mambo yasiyo dhihirika kwa upande wangu naona biblia ipo wazi sana labda unitajie maeneo kadha yenye utata nioneUmewahi kufuatilia Vedas ?
Kuna mambo ya kihistoria tofauti na ya mashariki ya kati uliweza kuyaona katika kufuatilia Biblia?
Vipi kuhusu mambo mengi yaliyoandikwa katika Biblia yasiyodhihirika kihistoria? Uliyachukuliaje?
Hata kama hujataja neno Mungu, maelezo yako tu, ya kusema Sayansi haijui mwanzo, tayari inaonekana uko upande wa huyo Mungu.Mzee wa kukataa uwepo wa Mungu, unaona katika maelezo yangu nimetaja neno Mungu?
Maeneo yenye utata kihistoria tuanze na gharika ya Nuhu ya ulimwengu mzima.Kiukweli vedas ndiyo naisikia kwako nitaifuatilia nione inasemaje pia kuhusu mambo yasiyo dhihirika kwa upande wangu naona biblia ipo wazi sana labda unitajie maeneo kadha yenye utata nione
Adios! π Kila la heri, tuonane tena.Adios!
Uliumbwa au Mama yako aliingia leba kukuzaa?Ni kweli ni kama kuiambia picha thibitisha kuwa ulibuniwa na binadamu, kifupi niishie kusema kwa imani twafahamu kuwa tuliumbwa, kivipi hapo sijui ila naamini
Kivipi mbona ipo waziMaeneo yenye utata kihistoria tuanze na gharika ya Nuhu ya ulimwengu mzima.
Ni kweli kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa maelezo mengine ya tatu, ya nne, au ya tano ambayo akili yetu ya sasa haina uwezo au zana za kuyafahamu.Umeweka hoja vizuri, lakini kuna sehemu moja muhimu: hizi si mitazamo miwili pekee inayowezekana. Inawezekana pia kuna maelezo mengine ambayo bado hatujayafahamu.
Pia, hata tukikubali kwamba ulimwengu una sababu ya msingi, bado tunahitaji hoja za ziada kuthibitisha kwamba sababu hiyo ni Mungu mwenye akili, na kwamba ndiye Mungu anayeelezwa na dini fulani.
Simple,short and clearHakuna mtu anayejua na mwenye majibu ya kueleweka mpaka sasa.
Ushatengeneza mfumo huu + ni tendo la kuongeza - ni kupunguza 3+7=10 , 5-3=2 simple tunaendelea kuzaana kama tulivyoumbwa kuzaliana, niliumbwa, pia ni lazima nizaliweUliumbwa au Mama yako aliingia leba kukuzaa?
Hakuna ushahidi wa kuwahi kutokea gharika ya dunia nzima, mambo yanaoelezwa kuhusu gharika ikiwemo kukusanywa wanyama wawili wawili wa aina zote dunia nzima kwenye safina ya Nuhu haiwezekani.Vipi
Kivipi mbona ipo wazi