The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Aiseee chalii yangu mmedokoa na kumega hela za walipa kodi hazina hadi mmemlipa mkulima. Sasa kule kujitapa kote eti lifti isijengwe hospitalini kubana matumuzi.Amka ukakojoe kumekucha
Ndio mkuu niko hapa sasa na angalia netflixMkuu vyombo umeisha lakini?
Kwasababu ya kukwepa kuzuiwa kwa ajili ya madeni lukuki yaliyosababishwa kizembe na kifisadi, ka mwewe ketu katachagua sana viwanja vya kutua hadi kafike Bongo.
Nadhani hakatatua kabisa kwenye nchi za Commonwealth. Ndege zetu sasa hivi ni kama digidigi. So sad really!
Lissu bwana akujalie uvumilivu na afya njema.
magu2016