Kabrasha chumba cha kunyongea

SEHEMU YA PILI
Hii inahusika na vituko na simulizi za wanyongwaji
Vituko, waoga, wakorofi wapo popote duniani na simulizi zenye simanzi sana pia hazikosekani

Mfungwa mmoja huyu alikuwa gereza la Isanga, huyu jamaa naweza kuamini kwa hakika hakuua bali figisu ana ushahidi vilimfunga
Huyu jamaa aligoma kabisa kula mpaka alipoitiwa rafiki yake mmoja askari ndio akakubali kula wali kuku... Chakula hiki kilitoka Dodoma hotel na aliletewa vipapatio vya kutosha... Hata neno lake la mwisho alisema ananyongwa bila hatia
Mwingine alikuwa ni binti mmoja huyu aliuwa mwanae... Kama kuna msamaha baada ya kuhukumiwa na hati kusainiwa huyu binti angekuwa mmojawapo.... Alilia sana na kujutia sana na kuomba misamaha yote lakini haikusaidia.. Alikula kitanzi
Wengine. Walikuwa wana fulani hivi kesi ya robbery na mauaji.. Hawa walidai chai ya maziwa mikate yenye siagi na mayai ya kukaanga wapewe alfajiri... Walitimiziwa... Walikufa wakiwa wameshiba kabisa
Mmasai mmoja baada ya kugoma siku nzima kuagiza apendacho usiku alikuja kuagiza damu mbichi ya beberu... Jamaa walimletea lakini walimmaind sana.....
Mwingine alikuwa ni mzee mmoja alikuwa mchawi sana.. Huyu kitanzi kilidunda na alikaa na kitanzi dakika 45 nzima ndio akakata roho... Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45 (anajua mwenyewe kwanini alifanya hivyo......
Makala ni ndefu bado

We jamaa huwa unaleta habari za kutisha tisha nikajua utakuwa mganga Wa kienyeji au unafuga na majini,sasa hili la Leo ni zito zaidi
 
Ukiachana na kosa la uhaini...ni makosa gani mengine adhabu yake ni kunyongwa?
 
Mkuu, ujue mambo ya kufakufa huwa yanafanya hata Nyagi kutoweka ghafla kwa woga....[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu majasiri asee au sijui ni kukata tamaa!? Nilishangaa sana Saddam Hussein alivyokuwa anapiga tustori na yule mnyongaji huku mnyongaji akikiweka vizuri kitanzi shingoni na yeye sijui alikuwa anamuuliza kitu gani kuhusu kile kitanzi huku akiwa kama anataka kukishika na linyongaji likamjibu kidogo huku likitingisha kichwa kuashiria "ndio"
 
Duh
 
Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
 
A
Naweza kupata kazi ya kunyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…