Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

Ina maana akigoma kuagiza menu kabambe anyongwi mkuu?
 
Kuna watu humu wanasema jamaa kadokoadokoa hii mada sijui ishaletwa humu mwaka gani,hiyo haijalishi Mimi nimeshukuru sana kupata hivi vitu nilikuwa sijui.
Mwambie aweke link[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee kaka mchanajr hizi mada zako sasa zinatisha, yaani nimeisoma huku napata hofu ya kifo na bafo napenda kuendelea kusoma, hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee hii post ya mshanajr leo ni hatari, hadi mtu unakosa furaha ya xmas gafla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mkiifahamu kazi yangu halisi mtanikimbia wote[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwa mfano mtu umehukumiwa kufa, huwezi omba uchapwe sirasi moja matata hapo hapo chali, au nilazima hadi hayo mambo ya kukabana koo nk
Mfungwa hana uchaguzi ama maamuzi yake
 
Back
Top Bottom