Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

[emoji23][emoji23][emoji23]hapana wanaweza kupeana sumu ama anaweza kuamua ammalize mwenzake kwakuwa yatakuwa nje ya ulinzi kutokana na tendo lenyewe kuhitaji faragha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii dunia ina watu wengi sana wenye roho mbaya kiasi ambacho kazi kama hii inagombaniwa na wengi mno. Nina uhakika hata wangesema watu wa kunyonga bila malipo wangepata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mnyongwaji hana uamuzi wa
. gereza
. adhabu
. mnyongaji
Bali siku ya mwisho hupewa uchaguzi wa kula apendacho, kunywa apendacho, hata sigara (sio kubwa) hupewa kwa idadi ya kutosha.. Na hata nyimbo anaweza kupigiwa hata Nyegezi
Eti hata nyegezi, basata c wataomba aongezewe adhabu ! [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Jamaa yuko sahihi mkuu, anaekamatwa ni bwana jela , Kuna ndugu yangu ni askari magereza aliwahi kuniambia same things.
Mashtaka kortini

Ingawa kazi hii maalumu hufanywa kwa mujibu wa sheria, baada ya kumaliza walikuwa wananipeleka mahakamani na kunisomea mashtaka kama muuaji mwingine yeyote. Lakini nilikuwa najibu kuwa mimi nimeua kwa mujibu wa sheria.

Baadaye utaratibu huo ulibadilishwa baada ya Serikali kuona kuwa kusomewa mashtaka mbele ya mahakama huku kukiwa na raia kunaweza kuhatarisha maisha yetu. Baadaye wakabadilisha nikawa nasomewa mashtaka mbele ya mkuu wa magereza tu.

Nikimaliza kusomewa mashtaka na mimi nilikuwa najitetea kwa kutumia vifungu vya sheria, basi naachiwa huru na kuendelea na kazi zangu.
 
Siku ya kwanza leo naona unamtolea mtu povu[emoji23][emoji23][emoji23] kweli bwana mganga umechefukwa
Na ndicho nilichokuwa nakitaka,nimkere hadi ajae upepo,na bado nataka mpaka akaniroge kama kweli yeye mganga
 
Back
Top Bottom