Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

Tunaloga wazima tuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaboa sana huyo mtoto, halafu hata umuonye vipi tena kwa upole kabisa hasikii.. Inafika mahali mtu uvumilivu unaisha[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]
Toa credits bhanaa kuwa umecopy na kupaste japo umeficha ficha vitu[emoji1787][emoji1787] tukana tena
 
kazi ya kuwapokea waliomaliza safari yao ya maisha ya mwili, nyama, mifupa na damu hapa duniani (mortuary attendant) au ukipenda uiite KAZI MAALUMU japo sio unyongaji. nahisi ni mule mule. kunradh Mshana Jr
[emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha haa hi sarakasi ya mnyongaji kudakwa na kusomewa mashataka ipo siku utashangaa jamhuri imekana kuhusika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Au ikatokea amepombeka vya kutosha wanamkamata halafu anakana kosa. au anakiri na kuchanganya vifungu walivyomkaririsha hapo ndio sarakasi nyingine itazuka sijui wataweka wakili
 
Au ikatokea amepombeka vya kutosha wanamkamata halafu anakana kosa. au anakiri na kuchanganya vifungu walivyomkaririsha hapo ndio sarakasi nyingine itazuka sijui wataweka wakili
Anaweza akakokotwa kwa ulevi lakini akishafika kwenye mlango wa chumba cha condemn ule wenye [emoji3582] na fuvu kubwa akili humrudi na kupata nguvu ya ajabu
 
Hii thread ina mafunzo mengi.... Ila kubwa zaidi inaonesha hao watu wanaopangiwa kazi maalum pia nguvu za giza nyingi wanatumia ktk kujiimarisha ili wasiweweseke ovyo usikuu
 
Hii thread ina mafunzo mengi.... Ila kubwa zaidi inaonesha hao watu wanaopangiwa kazi maalum pia nguvu za giza nyingi wanatumia ktk kujiimarisha ili wasiweweseke ovyo usikuu
Kwenye hii kaliba sometimes lazima kufanya kolabo la sivyo wenge na kuweweseka havitakoma... Si kila mtu tumuonaye kwa macho ya nyama ni binadamu kamili
 
Anapewa kazi ya kunyonga badae anashtakiwa...dah, lakin mkuu, Makala ya kunyonga tena na tuko kwenye shamrashamra ya thikukuu krismasi
 
Mshukuru mungu kwa kuwa ana malengo mengine na ww mazuri isitoshe logical mwishowe huwa mbaya sana kaz ya kuua wenzio sio jambo dogo mkuu
Aisee
Nakumbuka kuna nchi waliweka advert ya kazi ya kunyonga kwa mshahara mnono
Nili apply nikakosa
 
Back
Top Bottom