T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Nasikia ikifanya makosa basi huuawi tenaina maana hiyo kitanzi haifanyi makosa yani ni one for the road??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ikifanya makosa basi huuawi tenaina maana hiyo kitanzi haifanyi makosa yani ni one for the road??
Fafanua vizuri chief tofauti ya kunyongwa na kunyongwa hadi kufa.Ndio lakini hakuna hukumu ya kunyongwa tu bali kunyongwa hadi ufe ndio maana anakuwepo daktari maalum kuthibitisha kifo na kusaini hati ya kifo
Tangu 1984 safari ya Kenya ikiuzwa sh. 20 na pilsner ya Tz ikiuzwa sh. 15
Huyo mzee mchawi si angetumia huo uchawi kutoroka sasa anaenda kuutumia kitanzini...hayo ni matumizi mabaya ya ndumbaSEHEMU YA PILI
Hii inahusika na vituko na simulizi za wanyongwaji
Vituko, waoga, wakorofi wapo popote duniani na simulizi zenye simanzi sana pia hazikosekani
Mfungwa mmoja huyu alikuwa gereza la Isanga, huyu jamaa naweza kuamini kwa hakika hakuua bali figisu ana ushahidi vilimfunga
Huyu jamaa aligoma kabisa kula mpaka alipoitiwa rafiki yake mmoja askari ndio akakubali kula wali kuku... Chakula hiki kilitoka Dodoma hotel na aliletewa vipapatio vya kutosha... Hata neno lake la mwisho alisema ananyongwa bila hatia
Mwingine alikuwa ni binti mmoja huyu aliuwa mwanae... Kama kuna msamaha baada ya kuhukumiwa na hati kusainiwa huyu binti angekuwa mmojawapo.... Alilia sana na kujutia sana na kuomba misamaha yote lakini haikusaidia.. Alikula kitanzi
Wengine. Walikuwa wana fulani hivi kesi ya robbery na mauaji.. Hawa walidai chai ya maziwa mikate yenye siagi na mayai ya kukaanga wapewe alfajiri... Walitimiziwa... Walikufa wakiwa wameshiba kabisa
Mmasai mmoja baada ya kugoma siku nzima kuagiza apendacho usiku alikuja kuagiza damu mbichi ya beberu... Jamaa walimletea lakini walimmaind sana.....
Mwingine alikuwa ni mzee mmoja alikuwa mchawi sana.. Huyu kitanzi kilidunda na alikaa na kitanzi dakika 45 nzima ndio akakata roho... Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45 (anajua mwenyewe kwanini alifanya hivyo......
Makala ni ndefu bado
SEHEMU YA PILI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23]mfanyakazi chumba cha mahututi
Mhudumu chumba cha maiti
Msaidia kufisha wanaogoma kufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mzee mchawi si angetumia huo uchawi kutoroka sasa anaenda kuutumia kitanzini...hayo ni matumizi mabaya ya ndumba
DaahAisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
AiseeeMnyongaji akisahau vifungu inaweza kula kwake
Siku ya kwanza leo naona unamtolea mtu povu[emoji23][emoji23][emoji23] kweli bwana mganga umechefukwaWee vipi wewe kwani mpaka upate ruhusa yangu!? Weka! Kwani shida iko wapi? Ifike mahali uache utoto na upumbavu.. Unatambua kwa hakika kwanini nasema hivi...!
Je, anaruhusiwa kukutana na mama njerekera faraghaa?Mnyongwaji hana uamuzi wa
. gereza
. adhabu
. mnyongaji
Bali siku ya mwisho hupewa uchaguzi wa kula apendacho, kunywa apendacho, hata sigara (sio kubwa) hupewa kwa idadi ya kutosha.. Na hata nyimbo anaweza kupigiwa hata Nyegezi
Anaboa sana huyo mtoto, halafu hata umuonye vipi tena kwa upole kabisa hasikii.. Inafika mahali mtu uvumilivu unaisha[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]Siku ya kwanza leo naona unamtolea mtu povu[emoji23][emoji23][emoji23] kweli bwana mganga umechefukwa
KhantweSiku ya kwanza leo naona unamtolea mtu povu[emoji23][emoji23][emoji23] kweli bwana mganga umechefukwa
Hukumu mbaya kuwahi kutolewa ilimhusu George Stinney, kijana mdogo kabisa aliyehukumiwa kifo kwa makosa.. Alituhumiwa kumuua binti wa kizungu Lakini mwaka juzi nadhani ilithibitika kuwa hakuwa yeye muuaji...
Ni hukumu iliyoliza dunia... Ukiangalia video yake unaweza kuwachukia wazungu mpaka kifo chako View attachment 977507View attachment 977509View attachment 977510
Kwa kweli..Anaboa sana huyo mtoto, halafu hata umuonye vipi tena kwa upole kabisa hasikii.. Inafika mahali mtu uvumilivu unaisha[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]