Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

SEHEMU YA PILI
Hii inahusika na vituko na simulizi za wanyongwaji
Vituko, waoga, wakorofi wapo popote duniani na simulizi zenye simanzi sana pia hazikosekani

Mfungwa mmoja huyu alikuwa gereza la Isanga, huyu jamaa naweza kuamini kwa hakika hakuua bali figisu ana ushahidi vilimfunga
Huyu jamaa aligoma kabisa kula mpaka alipoitiwa rafiki yake mmoja askari ndio akakubali kula wali kuku... Chakula hiki kilitoka Dodoma hotel na aliletewa vipapatio vya kutosha... Hata neno lake la mwisho alisema ananyongwa bila hatia
Mwingine alikuwa ni binti mmoja huyu aliuwa mwanae... Kama kuna msamaha baada ya kuhukumiwa na hati kusainiwa huyu binti angekuwa mmojawapo.... Alilia sana na kujutia sana na kuomba misamaha yote lakini haikusaidia.. Alikula kitanzi
Wengine. Walikuwa wana fulani hivi kesi ya robbery na mauaji.. Hawa walidai chai ya maziwa mikate yenye siagi na mayai ya kukaanga wapewe alfajiri... Walitimiziwa... Walikufa wakiwa wameshiba kabisa
Mmasai mmoja baada ya kugoma siku nzima kuagiza apendacho usiku alikuja kuagiza damu mbichi ya beberu... Jamaa walimletea lakini walimmaind sana.....
Mwingine alikuwa ni mzee mmoja alikuwa mchawi sana.. Huyu kitanzi kilidunda na alikaa na kitanzi dakika 45 nzima ndio akakata roho... Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45 (anajua mwenyewe kwanini alifanya hivyo......
Makala ni ndefu bado

Huyo mzee mchawi si angetumia huo uchawi kutoroka sasa anaenda kuutumia kitanzini...hayo ni matumizi mabaya ya ndumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu apochunguzwa mwili wake alikuwa kafika kuleleni kwakuwa manii zilionekana kwenye pichu yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji144][emoji144][emoji144][emoji30]
 
Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
Daah
 
Hukumu mbaya kuwahi kutolewa ilimhusu George Stinney, kijana mdogo kabisa aliyehukumiwa kifo kwa makosa.. Alituhumiwa kumuua binti wa kizungu Lakini mwaka juzi nadhani ilithibitika kuwa hakuwa yeye muuaji...
Ni hukumu iliyoliza dunia... Ukiangalia video yake unaweza kuwachukia wazungu mpaka kifo chako
140122183159-erin-dnt-mattingly-george-stinney-case-revisited-00005306-horizontal-large-gallery.jpeg
hqdefault-1.jpeg
George_Stinney_mugshot.jpeg
 
Mnyongwaji hana uamuzi wa
. gereza
. adhabu
. mnyongaji
Bali siku ya mwisho hupewa uchaguzi wa kula apendacho, kunywa apendacho, hata sigara (sio kubwa) hupewa kwa idadi ya kutosha.. Na hata nyimbo anaweza kupigiwa hata Nyegezi
Je, anaruhusiwa kukutana na mama njerekera faraghaa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana wanaweza kupeana sumu ama anaweza kuamua ammalize mwenzake kwakuwa yatakuwa nje ya ulinzi kutokana na tendo lenyewe kuhitaji faragha
 
Back
Top Bottom