Kabrasha chumba cha kunyongea

Ahsante kwa mada nzuri, binafsi death sentence it's a NO, haileti tija yeyote ,murder cases zinaongezeka kabla ya kupungua,sends wahukumiwa long jail term, miaka 50 without parole
 
Umesahau kusema na sio kila gereza hukumu hiyo inatimizwa,unaweza kutolewa segerea unaenda kumyogwa Arusha,Kuna magereza maalumu
 
Katika kitu ambacho hua sikielewi ni hiyo ya daktari kuja kumpima anayenyongwa kwamba ana afya imara ili anyongwe, sasa mtu kama unamuua kwanini unahakikisha ana afya ili umnyonge
Umesahau kusema na sio kila gereza hukumu hiyo inatimizwa,unaweza kutolewa segerea unaenda kumyogwa Arusha,Kuna magereza maalumu
Arusha hakuna gereza lenye kitanzi!! Japo kweli unaweza kuhamishwa
 
Ulishaandika kila kitu big up bro Mshana Jr
 
Ndugu.Kyenyabasa kwani wewe ni askari mnyongaji🤔
 
Dah🤔,,, sijui umefikiria nini mpaka kuleta uzi huu,,, by the way twende tuishi!!
 
Isanga,lilungu,maweni, uyui,butimba,luanda
Lilungu lipo wapi ilo,nimeshuhudia kitambo wakisafirishwa kwenda kwenye kitanzi,ni huzuni kwa kila mtu,mpaka Askari wenyewe,ukimya wa hatari,ata paka au kuku akiwa pembeni anahuzinika,pingu miguuni na mikono,mavazi ya tofauti,yenye Alana x nyekundu kifuani na mgongoni,Askari kmkm ,Askari wa kawaida na ffu wanapeleka msafara,mbwa wa kutosha,silaha wanazobeba siku hiyo zinakua tofauti na za siku ya kawaida
 

Ulishuhudia gereza gan hilo?
 
Ikumbukwe Askari mnyongaji baada ya kutekeleza hukumu hufunguliwa mashitaka ya kuua na kesi husikilizwa siku moja na Askari hushinda kesi."
Fafanua mkuu, hii maana yake nini
 
Usanii mtupu sasa mashitaka wanakuwa wanamfungulia ya nini mnyongaji😂😂
 
Ikumbukwe Askari mnyongaji baada ya kutekeleza hukumu hufunguliwa mashitaka ya kuua na kesi husikilizwa siku moja na Askari hushinda kesi."
Fafanua mkuu, hii maana yake nini
Kwa umeua unahukumiwa Kama muuaji mwingine yeyote,baada ya kusomewa mashataka na wewe unatakiwa ujitetee ,utajibu umeua kwa mujibu wa vifungu vya Sheria.
Zamani kulikua na wahudhuriaji wengine ,Ila baadae ikabadilishwa,ukiwa mahakamani kusomewa anakuepo mkuu wa gereza tu,kwa ajili ya usalama wa mnyongaji
 
Siku moja kabla ya kuwanyonga,wanapewa gambe ya kutosha,Kama ni bia unapewa creti zima,unywe unavyotaka uamke na hangover ya kutosha,ili unyonge bila ya kua na chembe za huruma huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…