Lazima tena kazi hiyo hufanywa na daktari maalum
Hao ni ma expert wa vileo na akichemka kwa siku hiyo atarudishwa mahabusu apangiwe tareheKwahiyo Bwana Mnyongaji akichemka kujitetea kuhusu vifungu,naye huishia kitanzini?
Na je wakati akijitetea huwa ktk hali ya pombe au?mana umeandika Jana yake hukesha chumbani akijidunga vyombo
😂😂😂😂 ww sio wa kawaidaUtakufaje Peaceful kama mkimbizi? Mimi huwa naomba nije kufa kwa kupigwa kombora yaani nitawanyike vipande kama mia 3 hivi.
Daah na Nyundo tena huyo mnyongwaji atakuwa bandidu.Kikishindikana kitanzi kama kuteleza ama kushindwa kunyonga kuna nyundo kama rungu, unapigwa utosini moja tu, kama bado basi sindano ya sumu (ndio maana huwepo madaktari wa kuthibitisha kifo ama wa kukumalizia)
Kuna reserve ambao hufanya collabo na featuring
Unakufa kifo cha kitoto hicho! Pigwa kombora ufe na upotee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww sio wa kawaida
Haiwezekani huwekewa ulinzi wa hali ya juu sana wakishaambiwa tarehe yao ya kunyongwa
Ahuweni sindano na kitanzi. Hiyo ya majini siyo kabisa.Kunyongwa
Sindano ya sumu
Kupigwa shoti ya umeme(electrocution)...
Kuzamishwa majini(drowning)
....kipi ni cha maumivu zaidi!?
Kawaida, karibu sana.Inatisha
Itategemea duration ya tukio zima... Kadiri muda unavyozidi kuwa mrefu ndio maumivu yanavyokuwa mengiKunyongwa
Sindano ya sumu
Kupigwa shoti ya umeme(electrocution)...
Kuzamishwa majini(drowning)
....kipi ni cha maumivu zaidi!?
Hiyo sheria bado IPO?Ya mzee Ruksa