The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Palamagamba Kabudi ni kiraka kikubwa cha Idi Amina Mama. Tangu alipojikomba kwa Magu, amekuwa akiendeleza mchezo huo ambao uliasisiwa na Lukuvi alipomruka Lowassa na kujiunga na Magufuli. Je, amejiandaa kufuata kwa lolote kama Lukuvi? Namtakia kila heri kwa lolote na kumshukuru sana mpendwa, mtukufu, daktari, profesa sheha, al hajat Samia Suluhu Hassan