Kabudi abebe kila kitu cha Lukuvi ikiwemo kuwa zamu yake kufuatia

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709


Palamagamba Kabudi ni kiraka kikubwa cha Idi Amina Mama. Tangu alipojikomba kwa Magu, amekuwa akiendeleza mchezo huo ambao uliasisiwa na Lukuvi alipomruka Lowassa na kujiunga na Magufuli. Je, amejiandaa kufuata kwa lolote kama Lukuvi? Namtakia kila heri kwa lolote na kumshukuru sana mpendwa, mtukufu, daktari, profesa sheha, al hajat Samia Suluhu Hassan
 
Hawa ndio wanaompa kiburi mamaduro kwa kumwambia watanzania makenge tu we fanya unavyotaka, kwenye overhaul ya nchi huyu mzee anayetoa macho anatakiwa kusafishwa na akajibu upimbi wote alokuwa anamwelekeza mama yao ili apate choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…