Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

Hakuna bunge pale.wala usijichoshe.
 
Wanafiki watupu, wanaogopa kumwaga unga wao au nao ni accomplice, but most unlikely Polepole to part of the scam. Lakini huwezi kujua nguvu ya fedha maana Polepole naye ni mchumia tumbo nambari ONE
Wote ukiwatafakari, walikua think tank ya kuingza Mps kwa ghiliba. Ili wabaki wao wenyewe mjengoni. Sasa ninyi mnawezaje wauliza wako wapi wakati Mnajua ndy miongoni mwa walioasisi kununua wabunge na kusnitch baadhi ya Wapinzani wenye nguvu?.Kwa mtazamo wa mwenye akili hakuna Mzalendo hapo.Kama wangekua wazalendo wangejiuzulu kupinga Mkataba huu.
 
km hujui mfumo wa uongozi wa CCM kajifunze. Waziri mkuu ni katibu wa baraza la mawaziri, ni kiongozi mkuu wa shughuli za serikali bado unatgemea apinge jambo la serikali yake anayoiongoza mwenyewe? Hiyo ni akili ya wapi. Hao wengine Kabudi, Polepole na Bashiru wanaufahamu utaratibu wa chama chao hawawezi kupinga hadharani hata km wana mawazo mbadala wana vikao vyao wanawekana sawa ndipo hutoki na msimamo moja. CCM ni chama cheney nidhamu ya hali ya juu hakuna mambo ya kuropokaropoka hadharani
 
Wachumia tumbo tu hao... Jus' imagine polepole alivyokua ana draft kuhusu Ile 1.5trn🤣🤣🤣🤣
 
Asante sana kwa uchambuzi mzuri.Wale ni ezi wanabidi wapigwe mawe barabarani
 
Hao uliowataja eti wazalendo ndio traitors wakuu , wanauza nchi wazi tukiona ,bandari ni kitu sensitive Sana kuachia waarabu hivi hivi tu tena bandari iliyojengwa Ina kila kitu , hizo agreements zikiletwa hadharani zote ,risasi ndo watapewa tu wana CCM ,siku yaja ,top brass nchi hii hawataila watakavo
 
Watasema mini kama walishiriki kulinda katiba hii iliyopo yenye mauza uza!!?

Wanajua FIKA wao wamelikoroga ACHA walinywe!!
 
Tafuta uelewa wa mkataba kwanza ili uwe na cha maana cha kuhoji. Unaweza kuwa unatumika na maadui wa kiuchumi bila ya wewe mwenyewe kutambua.
 
Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.

Hii bandari hakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.

Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.

Wenye akili washaelewa hilo.

Ule ule uoga wetu ndio umaskini wetu. Tunashindwa kupokea changamoto kubwa maishani kwa sababu ya huo uoga wetu, ile hali ya kuamini kidogo tulichonacho na tunachokifahamu kuwa ndio kila kitu.

Upana wa dunia yetu ndogo ndio tunaodhani ni upana halisi wa dunia nzima. Bado tupo nyuma sana.
 
Ukiwa ndani ya tumbo la Chatu wa Kijani utaenda na matakwa ya Chatu huyo.

Chatu auwawe kwanza.
 
Mkuu wote uliowataja wako nyuma ya Mpina, mbunge wa Kisesa, Mwanza
 
Katiba mpya!!
 
Mchezo wa bandari umekwisha, uliowataja wote wameufyata.

Sasa tuko kwenye kuiomba serikali ifute misamaha yote ya kodi kwa taasisi za kidoni.

Pia Serikali isitowe pesa kupeleka sadaka kwenye taasisis za kidini. Kila taasisi ijitegemee kwa njia zake, haiwezi, ijifunge milango yake iwaachie wanaoweza kujiendesha bila kuitegemea serikali.
 
Unaweza kuwa ni mtu wa karibu wa Profesa Tibaijuka au ni yeye mwenyewe, unahangaika na kuweweseka kichwani.

Weka ushahidi wa bandari kuuzwa ili kila mtu ajiridhishe.
 
umekosea sana, cm haina nidhamu ya hali ya juu, sema ina unafiki wa hali ya juu na kishetani kabisa wakiongozwa na genge la msoga
 
tuendelee kupambana bandari ibaki
 
Tafuta uelewa wa mkataba kwanza ili uwe na cha maana cha kuhoji. Unaweza kuwa unatumika na maadui wa kiuchumi bila ya wewe mwenyewe kutambua.
wewe umeelewa nini kuhusu huo mkataba hadi unataka wanaotoa maoni watafute uelewa?
stupid kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…