Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

Mchezo wa bandari umekwisha, uliowataja wote wameufyata.

Sasa tuko kwenye kuiomba serikali ifute misamaha yote ya kodi kwa taasisi za kidoni.

Pia Serikali isitowe pesa kupeleka sadaka kwenye taasisis za kidini. Kila taasisi ijitegemee kwa njia zake, haiwezi, ijifunge milango yake iwaachie wanaoweza kujiendesha bila kuitegemea serikali.
Wewe una laana na kizazi chako chote kitakua na laana usipoacha huo ushenzi, sijui wewe ni babu, bibi, mama au ni shoga au msagaji sababu unajijua mwenyewe ulivyo hivyo ujumbe wangu umekufikia
 
Back
Top Bottom