Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Mnakula sana hii nchi jamani yaani billion 730 kwaajili ya el nino ambayo itaathiri mikoa Michache tu haifiki hata 7 hizo fedha ni nyingi sana hata ikiwa chini ya hapo bado ni fedha nyingi sana.
Hizo fedha zinaenda kutumika wapi zinafanyiwa nini ?
Hizo fedha zipelekwe kwenye miradi ya maana wote wanaishi maboindeni waondoke kabla mvua hazijaanza
Hizo fedha zinaenda kutumika wapi zinafanyiwa nini ?
Hizo fedha zipelekwe kwenye miradi ya maana wote wanaishi maboindeni waondoke kabla mvua hazijaanza