Kabudi:makadirio yetu ya kupambana na El-NINO ni billion 730 πŸ˜‚

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mnakula sana hii nchi jamani yaani billion 730 kwaajili ya el nino ambayo itaathiri mikoa Michache tu haifiki hata 7 hizo fedha ni nyingi sana hata ikiwa chini ya hapo bado ni fedha nyingi sana.

Hizo fedha zinaenda kutumika wapi zinafanyiwa nini ?

Hizo fedha zipelekwe kwenye miradi ya maana wote wanaishi maboindeni waondoke kabla mvua hazijaanza
Your browser is not able to display this video.
 
Looting and plundering.
 
Hizi Hela zisikieni tu wakuu.
Kuna shule Moja tulienda kujenga mnara wa tank la maji, bajeti yake ilikuwa milioni 20.

Kwahiyo hizi Hela ni matumizi mabaya kama wanatumia wengine, ila zikija kwenye mrija wako basi utaomba Kila siku watu wafanye ufisadi na wewe ule Kwa urefu wa kamba yako
 
Hakuna kitu kama hicho unauhakika gani kama hio miradi ya plumbing na roofing itakamika kwa wakati? Hio pesa ni nyingi mno
We unaugua uchizi, mi nimeandika plumbing au roofing? Hamsomagi muelewe.
 
Hio igawanywe kwa namba ya raia kila mtu apewe chake apambane mwenyewe.
 
Usisahau daraja la miti la Chalamila Dar
 
Nchi hii haina Rais, hiyo ni pesa iliyotumika kujenga daraja la Magufuli, hawana hata haya! Bilioni 730? Zingejenga barabara za lami nchi nzima! Bado tuna Rais? Wanazifanyia nini? Mbona hawaandiki breakdown? Kweli Samia ni mwanamke jambazi!
 
Loop holes ni mwendo wa kujipigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…