PreGE2025 Kabudi: Mwaka 2026 Serikali itajenga Arena kubwa hapa Tanganyika Packers

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu.

Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival lilifanyika Aprili 26 katika viwanja vya Tanganyika Packers Dar es Salaam

Kabudi atakuwa amejisahau, ilitakiwa aseme wataanza kujenga kabla ya uchaguzi mkuu 2025 ili ng'ombe zijitokeze nyingi kupiga kura
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu.

Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival lilifanyika Aprili 26 katika viwanja vya Tanganyika Packers Dar es Salaam

ambalo mtakuwa mnamkodishia mwamposa aendelee kuiba pesa za maskini
 
Professor wa majalalani zile dawa za corona alizotoa Madagascar alizipelekaga wapi
 
Back
Top Bottom