Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ila CCM ni jipu kwenye hii inchiKabudi atakuwa amejisahau, ilitakiwa aseme wataanza kujenga kabla ya uchaguzi mkuu 2025 sisi ng'ombe zijitokeze nyingi kupiga kura
ambalo mtakuwa mnamkodishia mwamposa aendelee kuiba pesa za maskiniWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu.
Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival lilifanyika Aprili 26 katika viwanja vya Tanganyika Packers Dar es Salaam
Zile dawa tunazisubiri sana kuokoa Taifa....Professor wa majalalani zile dawa za corona alizotoa Madagascar alizipelekaga wapi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu.
Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival lilifanyika Aprili 26 katika viwanja vya Tanganyika Packers Dar es Salaam
View attachment 3316966Wameshindwa
Imesema Serikali sio CCM.Duh kumbe CCM walishajua kitambo kuwa 2026 wataongoza inchi
Kabudi kama KabudiImesema Serikali sio CCM.