Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena.
Hiyo inamaanisha nini?
1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka)
2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)