Kabudi: Tunamshukuru Rais amekuwa mfariji mkubwa wa Taifa letu

Kabudi: Tunamshukuru Rais amekuwa mfariji mkubwa wa Taifa letu

Amemfariji nani ? Nafikiri kuna wakati inabidi tu ninyamaze maana nimeishiwa na maneno.
 
Hili senge nalo tangu liukose uPM limekua ka taahira.
 
Kabuni amesema anmshukuru sana rais samia kwani amekuwa mfariji mkuu wa Taifa wakati anafungua bunge kwa kulilia maisha ya watanzania ambao wamefiki "Bila hatia"

Pamoja na kumsifia Mwigulu akisema ni mara tatu hii anamsikia akiongea kilio cha maisha ya watanzania walioondoka "ambao hawana hatia"!

Hivi wanavyosemaga waliokuwa bila hatia, ndio wanamaanisha kuna Watanzania wakati wa maandamano WALISTAHILI KUULIWA?

Halafu anamsgukuru Samia huyu huyu aliyesama walioandamana sio watanzania, waliokufa sio watanzania, baada ya kukabwa sanaaaaa ndio pole inatolewa bila kusema polisi ndio wameua? Mzee wa Kifo ni Kifo?

Kwa ufariji gani aliofanya mpaka sasa wakati hakuna hata kiongoze mmoja ameenda kutembelea majeruhi au familia zilizopoteza wapendwa wao?

Ahhhhhhh nilisahau kama Serikali inajitahidi kuficha ushahidi, sasa itaenda kumfariji nani?🤣🤣🤣 Wakafariji ili wakubali wamefanya makosa against humanity?🌚

Wataenda kufarijiana ICC 2026
 
Nae ana familia jamani, asije akastaafishwa pensheni, Lazima apambanie msosi 😂
 
Back
Top Bottom