Kaburi linalochagua jinsia

Kaburi linalochagua jinsia

Hapa penye kuendeleza story huyu Mkuu The bold ndipo alipokua anawazidi marks, mnaleta story halafu mnawaacha watu na arosto.

Mods huyu The bold mmempiga Ban ya maisha? Kosa gani hilo lisilosamehewa jamani, kama nidhamu na adabu ameshapata, mrudisheni bwana.

Moderator

PainKiller

Paw
 
we mzushi sana hii story nimeiona kule global kumbe unasubiria waendeleze jpili
Haaaa sijaona hata global hii story na wala sisomag magazeti ya shigongo na kama umeona imeandikwa hivi hivi na kwa majina haya haya niliyotumia basi wameicopy hapa maana nimebadili kuanzia majina ya wahusika niliyoyatumia siyo majina yao halisi mpaka mji niliosema kuwa tukio limetendeka siyo wenyewe.
Nitaendeleza sema naona uvivu kuandika maana mimi uandika kwa kutumia sim na kupost moja kwa moja ndiyo maana post zangu zimejaa typing errors nyingi.
 
Mkuu jitahidi ulete ni nzuri
 
Asante sana mkuu kwa kutu;etea vitu maridhawa...nice story
 
Back
Top Bottom