Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Mtumainie MUNGU MWENYEZI dada achana na hawa wapinga MUNGU wa humu ndan watakupoteza dadaKuna dini zaidi ya 3000 duniani kwa sasa na kila dini inasema miungu yake na maandiko yake ndio ya kweli na ya wengine ni ya uongo, kuna muda nawaelewa wale wanaohoji mthibitishe uwepo wa hiyo miungu maana mambo yashakuwa mengi sasa, utashangaa na watanzania siku tunaamua kuanzisha dini yetu na maandiko yetu na kusema kina nyerere, mirambo, mkwawa, ng'wanamalundi, nk walikuwa manabii wa miungu yetu tunayoijua sisi hivyo tunapaswa kufuata mafundisho yao tu