Kaburu wakati wa half time Mbao fc vs Simba sc

Kaburu wakati wa half time Mbao fc vs Simba sc

jibuni alienda kufanya nini wakati wa half time? sio kuleta za kuleta hapa.kwanza Takukuru wapo mlangoni kwenu wanawacheki kuanzia huyo na yule mtema mipira karibu na adui
 
Hii ilikuwa jana wakati wa mapumziko kiongozi wa Simba makamu wa rais Kaburu alienda kuwasalimia viongozi wa Mbao kubadilishana mawazo

Acha kukariri nyumbu wewe.Sio kila anayeongea na mkeo anamtongoza.Mpira c uadui
 
Back
Top Bottom