MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mbona ana kibegi cha kike?
Usisahau jamii ya watanzania imejawa na wivuAnyway, apewe haki yake kama anastahili, ila kwa navyowajua wabongo sasa, wataanza kukumbushia mengine, badala ya kupigania haki ya mtu[emoji23]
Mkuu unauliza matako ya mbwa na mkia unauona? Huyo ndiyo vile tena.Mbona ana kibegi cha kike?
Si hicho tu ana vingi vinavyotia mashaka!Weka mchanganuo wa hiyo 600M
Tukiweka ushabiki wa mpira pembeni hivi unajisikaje kushadadia vitu ambavyo huna ushaidi navyo? yaani ushabiki wa mpira ndio unafanya hata haujali hisia za watu wengine?Mkuu unauliza matako ya mbwa na mkia unauona? Huyo ndiyo vile tena.
Nilitaka niulizie hilo, ila kwa kuwa umejifanya kiherehere kwa kunitangulia na kuni block, ngoja ninyuti tu.Anyway, apewe haki yake kama anastahili, ila kwa navyowajua wabongo sasa, wataanza kukumbushia mengine, badala ya kupigania haki ya mtu😂
Nataka kujua yuko wapi kwa sasa, kama bado yupo rwanda aondoke fasta watutsi sio watu wazuri wasije wakamdhuruAnyway, apewe haki yake kama anastahili, ila kwa navyowajua wabongo sasa, wataanza kukumbushia mengine, badala ya kupigania haki ya mtu😂
Iwe account fake au la unaweza kueleza sababu ya Yanga kumfukuza Kabwili?
Mwambie huyo! ukimuuliza km ana ushahidi atakwambia mi mwenyewe nimeskia tu kwa watuTukiweka ushabiki wa mpira pembeni hivi unajisikaje kushadadia vitu ambavyo huna ushaidi navyo? yaani ushabiki wa mpira ndio unafanya hata haujali hisia za watu wengine?