Kabwili akiwasha Rwanda, anaidai Rayon Sports mil 600. Kesi iko mezani FIFA

kabwili ni shoga.
Either ndio au hapana, hii mada ilikua inahusu madai yake kulikua na umhuhimu gani wa kuyaleta hayo mambo hapa? huwezi kua unachukia kitu then kila mda unakitamka tatizo la ushabiki wa kijinga sababu tu mtu yupo timu pinzani unatoa maneno ya kijinga ili uonekane na wewe umo! Ushoga ni chukizo mbele za Mungu usimktukane mtu ili upate sifa
 
Damn jamaa itakuwa KWELI NANILIU

Hio mitattoo dizaini FULANI HIVI
 
Sio vema kumdhalilisha mtu kwenye mitandao ya kijamii.
Sehemu ambayo hawezi kujitetea.

Kijana bado anatafufa fulsa za kucheza mpira ili ajitegemee, tuhuma kama hizi zinaweza kabisa kumyima hizo fulsa.

Nawaombeni mpeni heshima yake, ukichukulia alituwakilisha vizuri sana kwenye mashindano ya nchi ya vijana.
 
Chief wabongo ni wapumbavu sana!

Ukiangalia hili suala la huyu dogo chanzo chake ni usimba na uyanga

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sio vema kumdhalilisha mtu kwenye mitandao ya kijamii.
Sehemu ambayo hawezi kujitetea.

Kijana bado anatafufa fulsa za kucheza mpira ili ajitegemee, tuhuma kama hizi zinaweza kabisa kumyima hizo fulsa.

Nawaombeni mpeni heshima yake, ukichukulia alituwakilisha vizuri sana kwenye mashindano ya nchi ya vijana.
Kuna watu wajinga sana wao kila kitu ni ushabiki
 
Back
Top Bottom