Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Dogo hajahongwa na mtu..Mwalimu Nyerere wakati Tanzania na Malawi tunagombea mpaka wa ziwa nyasa..na Kamuzu Hastings Banda akiwa na uungwaji mkono mkubwa wa mabeberu (Afrika ya Kusini, Ureno, Uingereza, na Ureno)..Banda alikuwa anataka vita tu na Tanzania! Mwalimu katika moja ya hotuba zake akasema...:
"Banda is an insane but the powers behind Banda are not insane (kwamba Banda ni kichaa...lakini walio nyuma yake si vichaa)"! Exactly ndiyo hili suala la Kabwili..anajiona ana tengeneza:
1. Tension kwa Simba
2. Kuidhoofisha Simba
3. Kuiamsha Yanga
4. Kuamsha ari ya Yanga
5. Vita ya kisaikolojia
6. Kujiweka pazuri na ubingwa
7. Kutafuta kick
NB: Kikubwa viongozi wa Simba wakomae..athibitishe mbele ya TAKUKURU kauli zake za kuichafua Simba yetu...akishindwa kuthibitisha ashitakiwe kwa "perjury" kwa mujibu wa sheria ya ushahidi...kabwili hana soka..kaisha..kipa asiye na ushindani..kipa asiye na namba...kick tupu..mpira wa bongo bana..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2439][emoji2439][emoji2439][emoji2439]
CHA KUSIKITISHA DOGO NI MCHELE MCHELE
Sent using Jamii Forums mobile app