Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hii issue inafikirisha sana. Eti kwamba...
1.Simba hawakuona kipa mwingine wa kumhonga pale Yanga zaidi ya Kabwili? Kwamba Kabwili ni 'mkali' langoni kuwazidi Farouk Shikalo na Metacha Mnata? Maana ukitaka kuhonga lazima umhonge mchezaji mwenye impact kubwa kuliko wengine wa aina yake. HII SI KWELI! Dogo anataka kujipa kick mbele ya Shikalo na Metacha Kwamba angekosekana langoni hao wengine ni mapazia tu langoni na hivyo Simba ingeshinda kilaini. SI KWELI.
2.Thamani ya kadi mbili za njano ni IST na si kitu/fedha nyingine yoyote tofauti na IST? Je, kadi nyekundu ya moja kwa moja itathaminishwa na nini? Labda Range Rover. Na je, kama Simba wangetaka acheze ila aachie magoli ingepaswa wapande dau kwa kumpa gari aina ya Ferrari ambalo thamani yake ni zaidi ya Range rover (kwa ajili ya straight red card) na IST (kwa ajili ya yellow card) ?
3.Kabwili anataka kusema kwamba hata kadi nyekundu za juzi dhidi ya Mohammed Issa 'Banka' na yule beki-mshambuliaji Ally Mtoni 'Sonso' nazo zihusishwe na Simba?
Dogo baada ya kuona hana uhakika wa namba pale Yanga naona ameamua kuji-brand kwa namna nyingine ili angalau na yeye aendelee kuandikwa gazetini na kuzungumzwa zungumzwa kwa media zinginezo. NA SOKA NDO KWAHERI HIVYO.