Kabwili ni kichaa...lakini walio nyuma yake si vichaa

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Dogo hajahongwa na mtu..Mwalimu Nyerere wakati Tanzania na Malawi tunagombea mpaka wa ziwa nyasa..na Kamuzu Hastings Banda akiwa na uungwaji mkono mkubwa wa mabeberu (Afrika ya Kusini, Ureno, Uingereza, na Ureno)..Banda alikuwa anataka vita tu na Tanzania! Mwalimu katika moja ya hotuba zake akasema...:
"Banda is an insane but the powers behind Banda are not insane (kwamba Banda ni kichaa...lakini walio nyuma yake si vichaa)"! Exactly ndiyo hili suala la Kabwili..anajiona ana tengeneza:
1. Tension kwa Simba
2. Kuidhoofisha Simba
3. Kuiamsha Yanga
4. Kuamsha ari ya Yanga
5. Vita ya kisaikolojia
6. Kujiweka pazuri na ubingwa
7. Kutafuta kick
NB: Kikubwa viongozi wa Simba wakomae..athibitishe mbele ya TAKUKURU kauli zake za kuichafua Simba yetu...akishindwa kuthibitisha ashitakiwe kwa "perjury" kwa mujibu wa sheria ya ushahidi...kabwili hana soka..kaisha..kipa asiye na ushindani..kipa asiye na namba...kick tupu..mpira wa bongo bana..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2439][emoji2439][emoji2439][emoji2439]

CHA KUSIKITISHA DOGO NI MCHELE MCHELE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona kama ni chakula cha wanaaa
 
Naona baada ya kikao kifupi mmeamua kuja kutema nyongo zenu mitandaoni kumshambulia dogo Kabwili, alichosema Kabwili sidhani kama ni cha kutiliwa mashaka
 
Dogo kama kabwili anawasumbua sana walamba viatu vya moo

Ili waendelee kupata ugari wao wa kila siku na familia zao

Haya mumepata kiki na njia ya kuonesha kuwa hela za moo haziend vibaya na mnalamba miguu ya moo hata kama imekanyaga kinyesi cha mgonjwa mwenye corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ndio zenu kuhonga. Unashangaa Kabili kuhongwa. Simba Wana wahonga mpaka makipa wao wenyewe waachie nyavu.

Refer to kesi ya Mwameja in the infamous Simba Vs Stella Abidjan ( 1993)
 
Huyu mpumbavu tu hana lolote, halafu eti unategemea utaenda kucheza professional football tena nje ya nchi , kwa kuongea shombo ovyo ovyo, huna muda wa mazoezi na kufokasi career yako bali una muda wa kufanya upumbafu na kuongea ongea utumbo mbele ya vyombo vya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aja ongea utumbo amesema maini ya bibi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…