Kabwili ni kichaa...lakini walio nyuma yake si vichaa

Hii issue inafikirisha sana. Eti kwamba...

1.Simba hawakuona kipa mwingine wa kumhonga pale Yanga zaidi ya Kabwili? Kwamba Kabwili ni 'mkali' langoni kuwazidi Farouk Shikalo na Metacha Mnata? Maana ukitaka kuhonga lazima umhonge mchezaji mwenye impact kubwa kuliko wengine wa aina yake. HII SI KWELI! Dogo anataka kujipa kick mbele ya Shikalo na Metacha Kwamba angekosekana langoni hao wengine ni mapazia tu langoni na hivyo Simba ingeshinda kilaini. SI KWELI.

2.Thamani ya kadi mbili za njano ni IST na si kitu/fedha nyingine yoyote tofauti na IST? Je, kadi nyekundu ya moja kwa moja itathaminishwa na nini? Labda Range Rover. Na je, kama Simba wangetaka acheze ila aachie magoli ingepaswa wapande dau kwa kumpa gari aina ya Ferrari ambalo thamani yake ni zaidi ya Range rover (kwa ajili ya straight red card) na IST (kwa ajili ya yellow card) ?

3.Kabwili anataka kusema kwamba hata kadi nyekundu za juzi dhidi ya Mohammed Issa 'Banka' na yule beki-mshambuliaji Ally Mtoni 'Sonso' nazo zihusishwe na Simba?

Dogo baada ya kuona hana uhakika wa namba pale Yanga naona ameamua kuji-brand kwa namna nyingine ili angalau na yeye aendelee kuandikwa gazetini na kuzungumzwa zungumzwa kwa media zinginezo. NA SOKA NDO KWAHERI HIVYO.
 
Kipindi hicho makipa walikuwa wawili tu kindoki na yeyemwenyewe menata na shikalo walikuwa bado hawajasajiliwa Yanga.
 
Kipindi hicho makipa walikuwa wawili tu kindoki na yeyemwenyewe menata na shikalo walikuwa bado hawajasajiliwa Yanga.
Imebainika kwamba uongozi wa Yanga ndio waliompigia simu kumjaribu kama atahongeka,walivyoona kakaza wakapata imani naye wakampanga. Hali imechafuka huko Yanga,wanamlaumu Kabwili kwa nini hakuwasiliana na club kabla ya kuropoka
 
Hiyo habari umepata wapi?
 
Weka ushahidi hapa.Huo ninukweli na ni kawaida simba kuhonga.Tena hata mwenye akili zisizo timamu inaonesha ni ukweli dhahiri kuwa simba walituma kumhonga dogo au ni kikundi kidogo cha wanasimba nje ya utawala walijichangisha ili wamhonge dogo.
Huwa najiuliza kauli za 5-0 leo simba tunashinda zinatoka wapi na litimu la wazee akina kagere na Okwi kumbe kwasababu mwanajua kuwa tumehonga hamjui kuwa kuna mtu unaweza kumhonga na bado akakichafua wananjani na usimfanye kitu dadeki
Imebainika kwamba uongozi wa Yanga ndio waliompigia simu kumjaribu kama atahongeka,walivyoona kakaza wakapata imani naye wakampanga. Hali imechafuka huko Yanga,wanamlaumu Kabwili kwa nini hakuwasiliana na club kabla ya kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Kindoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ndio zenu kuhonga. Unashangaa Kabili kuhongwa. Simba Wana wahonga mpaka makipa wao wenyewe waachie nyavu.

Refer to kesi ya Mwameja in the infamous Simba Vs Stella Abidjan ( 1993)
Hili hata Mwameja alilisema baada ya Kanjibai Azim Dewji kutoa ahadi ya Kia/Chai Maharage kwa kila mchezaji wa Mikia kupewa gari Moja Moja ikiwa watachukua kombe. Usiku wa kuamkia match Azim alimfuata Mwameja na kumpa kitita kirefu cha hela ili Simba ifungwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Mbumbumbu hata hujui kinachoongelewa na wakati gani tukio lilitokea. Wakati huo Magolikipa wa Yanga walikuwa Kakolanya ambae wakati huo alishasimamishwa, Kabwili na Kindoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mmeanza kujitetea subiri wazee wa kazi wapekue namba hizo ili wahusika wapelekwe korokoroni
 
Imebainika kwamba uongozi wa Yanga ndio waliompigia simu kumjaribu kama atahongeka,walivyoona kakaza wakapata imani naye wakampanga. Hali imechafuka huko Yanga,wanamlaumu Kabwili kwa nini hakuwasiliana na club kabla ya kuropoka
Hii mmeamua kupooza mambo baada ya boss wenu kuumbuka
 
Kumdhihaki kwa sababu ya maumbile yake au muonekane wake ,haimfanyi awe na hatia ,kwann tusiruhusu vyombo vinavyohusika vikafanya kazi yake ,kumkandamiza dogo ni kumyima haki ya msingi ambayo kila siku tunapiga kelele kwamba tunahitaji haki ,haki inaanza kumsikiliza anayetoa malalamiko ,tuache vyombo vya kisheria vifanye kazi yake tuache kukashifu na kudhihaki watu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule GK mtoto wa Manzese, GK wa zmn Madrid, alifatwa aondoke Mashambani kwenda Kariakoo! Mtu Mweupe kutoka Kariakoo akaweka 10% yake ambayo yule GK manywele akaigomea, alidai atachosaini ndicho atakachochukua! Ikawa! Hatoi cha juu! Basi tajiri akamlaani "njoo lkn hutadakia timu yetu" Na kweli maskini dogo alivunjwa goti Kusini huko kabla ya Derby na hapo ukawa mwanzo wa mwisho wake Kariakoo! Yupo zake Pwani huko anaendelea na soka, ukimskiza anasema hana hamu tena na timu za Kkoo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika nn sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…