Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari?
Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua.

Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja.

Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini aina hii ya pili ?
Inawakilisha East Africa au ndo hivyo ni biashara ya ngono?
Majibu tafadhali
FB_IMG_16564120697642043.jpg
 
Nimeona wadada wa chuo wakivaa sana hizo either zikiwa zote mbili mkono mmoja au hiyo nyingine isiyo ya tz ,nahisi ni pambo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Unajiuliza sometimes
Kwanini wasibuni na aina nyingine, kila mdada ni hizo aina mbili tu
 
Habari?
Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua .
Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja.
Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya ushoga, ufilaji au usagaji?
Kwanini aina hii ya pili ?
Inawakilisha East Africa au ndo hivyo ni biashara ya ngono?
Majibu tafadhali
View attachment 2275392
nilileta thread humu watu wakaponda sana humu ila huo ndo ukweli wasio jua wana iga lakin wengi wanajua walifanyalo
 
Back
Top Bottom