Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sijajua bado ni kisiki au gogo.Huo wa juu Ni mkono au kisiki?!
nilileta thread humu watu wakaponda sana humu ila huo ndo ukweli wasio jua wana iga lakin wengi wanajua walifanyaloHabari?
Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua .
Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja.
Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya ushoga, ufilaji au usagaji?
Kwanini aina hii ya pili ?
Inawakilisha East Africa au ndo hivyo ni biashara ya ngono?
Majibu tafadhali
View attachment 2275392
Hatari sanawengi wanaovaa wanajua maana yake na ni waumini wazuri tu.wachache sana wanaovaa bila kujua.