EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huku mtaani vijana wengi sana wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za bendera ya Kenya na Uganda kuliko za Tanzania.
Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ?
Wamekosa uzalendo au?
Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha
Au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu.