Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

aisee yan me nmevaa kacha miaka 2 ndo nagundua hv juzi kumbe ni ya jamaica wala sikuwa na habari rangi ya blue ndo haipo dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona umeamua kuja kidiplomasia zaidi jombaa. 😀 Mimi huwa sina huo muda hata wa kuwaza tu, achia mbali kuumwa. Kisa rangi au bendera ya nchi yoyote ile nyingine, sio tukiwa na kitu safi kama hiki.
kenya-flag-std.jpg
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1][emoji1]
 
😀😀😀 Alafu huwa wanakujibu vipi? Maanake ingekuwa wote wanaozivalia ni wakenya kweli Kenya ingekuwa na diaspora moja ya kufa mtu kwenye kila kona duniani.
david_beckam.jpg
Nai is not their count imenunuliwa na mabeberu
 
Huku mtaani vijana wengi sana wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za bendera ya Kenya na Uganda kuliko za Tanzania.

Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ?

Wamekosa uzalendo au?

Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha

Au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihuView attachment 1652306
Hiyo ya Tanzania rangi ya njano ndio shida maana wanadai yakwao@CCM
 
Back
Top Bottom