Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

aisee yan me nmevaa kacha miaka 2 ndo nagundua hv juzi kumbe ni ya jamaica wala sikuwa na habari rangi ya blue ndo haipo dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona umeamua kuja kidiplomasia zaidi jombaa. πŸ˜€ Mimi huwa sina huo muda hata wa kuwaza tu, achia mbali kuumwa. Kisa rangi au bendera ya nchi yoyote ile nyingine, sio tukiwa na kitu safi kama hiki.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1][emoji1]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu huwa wanakujibu vipi? Maanake ingekuwa wote wanaozivalia ni wakenya kweli Kenya ingekuwa na diaspora moja ya kufa mtu kwenye kila kona duniani.
Nai is not their count imenunuliwa na mabeberu
 
Hiyo ya Tanzania rangi ya njano ndio shida maana wanadai yakwao@CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…