Kachemka tena!!!
Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRighting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???
Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??
Another shame!!
Mwenye CV ya Mulugo atuwekee tafadhali; huyu jamaa ni kilaza wa kutosha kuiangamiza elimu ya watanzania ambayo ndiyo sera ya CCM
Kachemka tena!!!
Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRighting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???
Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??
Another shame!!
hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini? au nawe ndio ulimi umeteleza au vidole vimeganda?
Kwani kwa sasa wanafunzi hawasomi, hawaandiki na hawahesabu? Swali la Mbatia nalo ni swali kweli? Haya ni matokeo ya pale dhaifu zinapogongana!!
Jamani achaneni na Pasco ile assignment alisha imaliza, hii ya sasa mpaka wakubaliane upya atamsafisha kwa bei gani.
Sasa kosa lake ni nini? Naona kila mtu anashabikia tu bila hata kusema amekosea kitu gani? Leteni nyie jibu sahihi basi. 3 K's zinatafsiriwaje kwa kiingereza? Maana hiyo 3 R's mimi nimeliona mahali pengi na likiwa na maana hiyohiyo ya Mulugo sasa ninyi mlitaka asemeje? Labda na mimi nimekuwa mchemikaji, but mnapooanza kuargue muwe mnaeleza alichokosea na majibu ambayo yangekuwa sahihi.