Kachemka Tena!!! Mulugo tuonee huruma...pumzika tuachie wizara yetu jamani

Kachemka tena!!!

Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRiting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???

Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??

Another shame!!

The three Rs (as in the letter R) [SUP][1][/SUP] refers to the foundations of a basic skills-orientated education program within schools: reading, writing and arithmetic It appears in print as a humorous space-filler in "The Lady's Magazine" for 1818 though it is widely quoted as arising from a phrase coined in a toast given by Sir William Curtis MP in around 1825.[SUP][2][/SUP] Since its original creation, many others have created new words for what the Rs stand for.
However the original phrase "the Three Rs" came from a previous speech made by Sir William Curtis in 1795 and these referred to:

  1. Reading and writing
  2. Reckoning and figuring
  3. Wroughting and wrighting
REJEA: The three Rs - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kwani kwa sasa wanafunzi hawasomi, hawaandiki na hawahesabu? Swali la Mbatia nalo ni swali kweli? Haya ni matokeo ya pale dhaifu zinapogongana!!

Mkuu,
Rejea alichosema Dk. Shukuru Kawambwa mnamo Desemba 2010, kwamba serikali ilikuwa inakusudia kurejesha na kuweka kipaumbele katika K 3,

[h=3]Dk Kawambwa awashusha pumzi wadau wa elimu[/h]www.mwananchi.co.tz › Makala › MaarifaCached - Translate this page
You +1'd this publicly. Undo
28 Des 2010 – Katika mkutano wake wa kwanza na wanahabari, Dk Kawambwa ... Kawambwa K tatu inajumuisha stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu ...
 
Kwani kwa sasa wanafunzi hawasomi, hawaandiki na hawahesabu? Swali la Mbatia nalo ni swali kweli? Haya ni matokeo ya pale dhaifu zinapogongana!!

wangekuwa wanasoma, wanaandika na kuhesabu yasingetokea majanga kama yanayotokea sasakatika shule za kata... Tanzania ni nchi pekee ambayo wanafunzi wake wanamaliza elimu ya msingi hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu..... na hili suala lipo kweli na linatokea katika shule nyingi na hii yote kutokana na sera mbovu za wale waliokuwepo kwenye system akiwemo mulugo na wenzake........... huyu mtu ni MBURURU a.k.a KILAZA na hafai kuchekewa
 
Kachemka tena!!!

Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRiting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???

Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??

Jamani aibu gani hii JF? yaani Watanzania hatujui maana ya 3r's. Siwalaumu na Sitawalaumu kwani ni mfumo mbaya wa elimu yetu, hata hivyo halihitaji elimu kubwa kujua hili. Ndugu zangu, Mh Waziri yupo sahihi na nawaomba muombe radhi katika hili, hamjamtendea yeye haki wala Jf. Kama alivyosema mtoa huu uzi, 3R's ni herufi R ziwe tatu ambapo mwanafunzi anatakiwa kuja Kusoma, Kuandika na Kuhesabu. Kwa kiswahili ni KKK. kwa kiingereza ni Reading, WRiting na mwisho ni ARthmetic (Kuhesabu) sasa mpangilio wa maneno haujakubali kanuni ya kufupisha kwa kila herufi ya kwanza hivyo wameamua kuchukua hizo herufi zinazofanana, wakaiteua R.
Tumtendee haki Waziri, Tuitendee haki JF ndugu zangu!
 
Jamani mm naomba maana ya Jina Mulugo nachelea inaweza kuwa Muongo! unajuwa tena majina ya kibantu.
 
mbona hajakosea kitu hapo......
 
The three Rs (as in the letter R) [SUP][1][/SUP] refers to the foundations of a basic skills-orientated education program within schools: reading, writing and arithmetic It appears in print as a humorous space-filler in "The Lady's Magazine" for 1818 though it is widely quoted as arising from a phrase coined in a toast given by Sir William Curtis MP in around 1825.[SUP][2][/SUP] Since its original creation, many others have created new words for what the Rs stand for.
However the original phrase "the Three Rs" came from a previous speech made by Sir William Curtis in 1795 and these referred to:

  1. Reading and writing
  2. Reckoning and figuring
  3. Wroughting and wrighting
REJEA: The three Rs - Wikipedia, the free encyclopedia

mleta hoja kilaza
 
inabidi kufanya utafiti kidogo pengine yuko sahihi yaani ndivyo inavyoitwa maana sidhani kama ni yeye katunga hiyo kitu na inawezekana inaitwa three R's kwa kuwa kwenye kila neno kuna R bila kujali position ya R kwenye neno husika au labda kutokana na utamkwaji wa maneno hayo!!

Waziri hajakosea. 3Ks kwa kiswahili (kusoma, kuandika na kuhesabu) kwa kiingereza huwa 3Rs (reading, writing and arithematics).
 
Mleta hoja ana visa na waziri pia ni KILAZA namba 1. Hebu asome HAPA . Siku nyingine hatutaki alete upuuzi wake hapa.
 
Wakuu.
Hata kama tunaweza kumhukumu Mulugo kwa kosa lake la kwanza kwa kuwa alichemka, haihalalishi kumhukumu kwa kosa la pili ambalo sio kosa. Kwa hili la 3R's mheshimiwa yuko sahihi kabisa. Mleta hoja anatakiwa kuwa muungwana kwa ku-withdraw shutuma zake na kuliomba radhi jukwaa na wanajukwaa, haitamgharimu kitu bali itamjenga wakati mwingine akija ahahakikishe anakuja akiwa kafunga vishikizo vyake sawasawa.
 
The three Rs (as in the letter R) [SUP][1][/SUP] refers to the foundations of a basic skills-orientated education program within schools: reading, writing and arithmetic It appears in print as a humorous space-filler in "The Lady's Magazine" for 1818 though it is widely quoted as arising from a phrase coined in a toast given by Sir William Curtis MP in around 1825.[SUP][2][/SUP] Since its original creation, many others have created new words for what the Rs stand for.
However the original phrase "the Three Rs" came from a previous speech made by Sir William Curtis in 1795 and these referred to:

  1. Reading and writing
  2. Reckoning and figuring
  3. Wroughting and wrighting
REJEA: The three Rs - Wikipedia, the free encyclopedia
Yes, that is true. Mulugo was very right. 3Rs in English are the Kiswahili 3Ks. Some people here are blinded by hatred in such a way that they agree to disagree to everything said by Mulugo. Mulugo, wasamehe, wakikua wataacha.
 
Back
Top Bottom