Kachero asimulia alivyowatorosha Nyerere, Kawawa

Kama kimeisahahaliliwa basi habari nyingi za kusisimua za ukweli zimeondolewa.
 
Shukran sana ngoja takitafuta nikisome nione kama kipo sawa na habari niliambiwa na wazee wangu walioshatangulia mbele ya haki.

Vipi muzee mbona umeutelekeza uzi wako kulee? teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!! dah leo umeumbuka vibaya sana!!!!
 
Vip Mkuu ni bei gani hicho?
Na unakilinganishaje ni kile chako?
Kinauzwa 15,000,

Ni kidogo kwani kinakurasa 131 tu na visa vichache vya kishushu vya ndani, lakini kitabu changu kina kurasa 231 na kitauzwa 30000, kina visa vingi vya kijasusi vya ndani na nje ya nchi, kina historia kubwa ya nchi yetu na mengineyo mengi....

Kitaanza kuuzwa Duka la Wisdom Bookshop lilipo posta Samora jengo la NHC ghorofa ya kwanza, na THP mtaa wa samora pia.

Wiki ijayo pia kitauzwa Amazon
 
Nimewahi kuuliza humu ndani kama Tanzania tuna taratibu za de-declassify taarifa za usalama, kuna watu wakataka kunitoa roho.

Sometimes watu wanashindwa ku-appreciate kazi za idara zetu za usalama kwa sababu ya usiri uliopitiliza.

Nilipewa hadithi ya ni namna gani makachero wa Tanzania walivyowadhibiti wanasiasa wa ZAPU wakati wa mazungumzo na ZANU huko Jamaica. Fascinating story sema haziandikwi
 
Kwa hiyo wale waliopo nje na Dar utaratibu wa kukipata unakuwaje.......???
 
na sisi tumeanza taratibu km wenzetu cia,mossad nk.atauza sn kikipata promo ya kutosha.
AAtiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!?? hujasikia kilivyo kuwa edited na Wazee? CIA au Mossad sio wenzetu, sisi nadhani sijui tujifananishe na nani!!?
 
tete tete
 
Ndo nini sasa..
 
Nitakitafuta nione.
 
Bora kitabu hicho kiweke rekodi sawa. Zamani tuliaminishwa kuwa kuna njia ya underground kutoka Ikulu hadi Kigamboni. Stori nilizowahi kuzisikia ni kuwa Mwalimu alitorokea underground way.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…