Ilikuwa hivi kulikuwa na Mugabe na chama chake cha ZANU wakiwa madarakani in Zimbwabwe, plus ZAPU chini ya Nkomo, sasa kukawa na minor civil war between the two parties. Issue ikawa ni namna gani wanamaliza hili tatizo. Kukawa na meeting in Jamaica ya wawakilishi wa the two parties, sasa makachero wa Tanzania walikuwa wanafuatilia sana hili swala cause Tanzania ilikuwa moja kati ya nchi zenye stake na hili swala.
Kilichotokea,
Wakorofi kutoka ZAPU wakawa-identified mapema, wakati wa mkutano, 'wakorofi' wakapokewa airport huko Kingston na makachero wa Tz, wakapelekwa kwenye hotel wakafungiwa huko mpaka mkutano ukaisha, the soft guys wakasaini na ZANU... Problem solved, wakarudi Zimbwabwe ndio mwanzo wa ZANU-PF