Kachero asimulia alivyowatorosha Nyerere, Kawawa

Halafu umewaza mbali sana. Inawezekana kabisa ikawa hivyo. Maana haiingii akili kwa mtu aliyekuwa akiwindwa na wanajeshi akatoroka kirahisi tu kwa kutumia pantoni.
Ulitaka atoroke na Helicopter?
 
Umesema sahihi kabisa...habari za uhakika zimeshachujwa yamebaki makapi tupu humo...sijui kwa nini watu hawapendi kueleza hali halisi..this is stupid
 

Please shed more light on that point.
 
Please shed more light on that point.

Ilikuwa hivi kulikuwa na Mugabe na chama chake cha ZANU wakiwa madarakani in Zimbwabwe, plus ZAPU chini ya Nkomo, sasa kukawa na minor civil war between the two parties. Issue ikawa ni namna gani wanamaliza hili tatizo. Kukawa na meeting in Jamaica ya wawakilishi wa the two parties, sasa makachero wa Tanzania walikuwa wanafuatilia sana hili swala cause Tanzania ilikuwa moja kati ya nchi zenye stake na hili swala.

Kilichotokea,

Wakorofi kutoka ZAPU wakawa-identified mapema, wakati wa mkutano, 'wakorofi' wakapokewa airport huko Kingston na makachero wa Tz, wakapelekwa kwenye hotel wakafungiwa huko mpaka mkutano ukaisha, the soft guys wakasaini na ZANU... Problem solved, wakarudi Zimbwabwe ndio mwanzo wa ZANU-PF
 
Duuh kumbe hatari mkuu hebu kama una nyama zingine utujazie sie wengine kizazi cha dot com hatuna hili wala lile
 
Stori hii inafurahisha na kusisimua. Kwamba TISS walifanya 'umafia' ugenini ni jambo linalokufanya ujivunie heshima ya Tanzania katika harakati za ukombozi Afrika. Ndo maana Mugabe ana heshima kubwa kwa taifa hili, hasa watu kama Nyerere, SAS na Hashimu Mbita. Shukrani kwa kushare, vijana wajifunze na wawe proud wanavyoenda huko nchi za SADC.
 
Ukweli ni kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana na ya heshima kupita kiasi. Lakini kwa sababu they are silent warriors wanatukanwa na kudharauliwa sana.
 
 
usiishie kuwaza ni watu hatari sana tu, tanua kidogo akili yako kwa kuwaza namna ya kuwadhibiti wasije kukusumbua na mbinu zao hizo unazodhani hazina namna ya kuzizuia.
 
Ukweli ni kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana na ya heshima kupita kiasi. Lakini kwa sababu they are silent warriors wanatukanwa na kudharauliwa sana.
Ahsante kwa kuwa Mzalendo mtafute na yule makengeza waukawa asome hii thread wakumbushe na wafuasi wake kuwa hii nchi imetoka mbali laiti enzi hizo kungekuwa na wenye maamuzi ya oyo kama ya Chama chake sijui hili Taifa leo lingekuwa wapi. Hongereni Watumishi wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa namna mlivyojitolea maisha yenu kwa ajili ya Taifa hili na muwapuuze wanasiasa wote UCHWARA wanaowavunja moyo. MUNGU AWABARIKI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…