Kachero asimulia alivyowatorosha Nyerere, Kawawa

Brother me nawaheshimu sana hawa watu, sacrifice zao kwa ajili yetu sio za kubeza hata kidogo.

Kuna siku tumekamatwa sehemu tukapelekwa central, tukakutana na afande mmoja akatutukana sana, wenzangu wali-mind lakini moyoni me nikawa najiuliza, huyu jamaa ameacha familia, mke, nyumba na kila kitu na yupo hapa ku-handle walevi kadhaa wanaofanya vurugu baada ya starehe.... hivi ningeweza mimi kuacha wife na nyumba yangu kuanza kupuyanga Bongo usiku kucha.

Pamoja na mapungufu yao, hizo asilimia 10, zilizobaki 90 tunapaswa kuziheshimu
 
Mkuu bei ipo juu,Magufuli kabana hela itabidi tupige kolabo ndo tukipate
 
Naona Operesheni ya kuwatorosha Nyerere haikuwa na ufundi wala umakini wowote na ilikuwa very very risk.Assume Pale Kivukoni angekutana na Waasi halafu ingekuwaje?
 
Naona Operesheni ya kuwatorosha Nyerere haikuwa na ufundi wala umakini wowote na ilikuwa very very risk.Assume Pale Kivukoni angekutana na Waasi halafu ingekuwaje?
Yeye yuko sahihi mkuu.wewe tu ndio hujui hizo kazi zao.inapotokea ikulu kuna taarifa au viashiria kua uhai wa rais uko hatarini hua anatoroshwa kwa namna yoyote kuliko kusubiri akutwe

baada ya deputy head of security wa mobutu kukutana na wanajeshi wamehasi wanadai wanaenda nyumbani kwa mobutu kumteka .yule mlinzi alienda fasta mpaka chumbani kwa mobutu akambeba mgongoni akamtorosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Declassification yoyote duniani huwa haiachi mbinu zitambuliwe! Kama kuwavisha baibui ilikuwa ni mbinu mojawapo, basi watu wa usalama hawataiachia itoke nje kwani hujui kuwa inawezekana mwakani mbinu hiyo ikatakiwa kutumika tena; saa kama itakuwa imeishawekwa wazi then haitaweza kuwa effective tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…