Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

Hakuwahi kutoka CCM bali alikuwa kazini. KAZI alishamaliza kitambo.
 
Amekwenda kunogesha
 
Ccm haina mvuto tena
Asipoteze muda, ccm itapotea muda ujao ujao
 
Ingawa membe alikuwa anadonoa donoa lakini Lissu pekeee alimkabili Vampaya.
Kwani kipi kikubwa Kati ya HAKI na RUSHWA hapa kwetu?

Wengine husoma Sheria wakajiona wanaishi katika kipande Cha Ulaya wakati ni hapa hapa umeenda Unguja kesho upo Nanyamba Tanganyika
 
Timu gaidi tuone watamsajili nani mwaka 2025
Unatia kinyaa hujui hata tafsri rahisi ya neno GAIDI ! Ulisoma wapi sijui? Embu tulia utafte tafsir ya neno gaidi kwanza unashangaza kweli wewe
 
Kumbe Membe hakugombea urais 2020? Dishi limeyumba.

Membe alifukuzwa na kamati kuu ya ccm ambayo Samia ,Majaliwa, Mangula bado wapo.
Binadamu siyo wanyama, kwamba ukishawapa majani wanamsubir kuchinjwa. Wapo wajinga wachache hapa nchini wanafikiria ukijenga mabarabara,zahanati, flyovers, shule nk. Nahitaji yao yameisha.. sisi siyo wanyama tuna nahitaji zaidi ya barabara.... ( jeneral twaha ulimwengu, leo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…