mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
SI kaenda mwenyewe kwenye mkutano na kupiga kura ya ndio. Angebaki huko huko jimboni kwake.Mwamba kagoma kabisa kukubaliana na ugombea wa Samia tena.
Ameonyesha ukomavu wa mwanaume kusimama na kile unachokiamini tu.