Kachoka nguo za kijani?

Kachoka nguo za kijani?

Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
98% ya wanaJF nauhakika wataliunga mkono hili , fanya hivyo mkuu kura yangu tayari unayo
 
Hafiki hata kwenye kura za maoni huyo fomu yake itatupwa kwenye dustbin na hataweza uliza popote kwa nini hajaingizwa kwenye kundi la watia nia akashindwe kwenye kura za maoni.Hiyo nafasi hatapata fomu yake itatupwa tu dustbin case closed
Apewe U-Katibu Mkuu wa CCM. Ataweza sana maana ni kichwa 'kweri kweri' (In Magu's voice).
 
Kama namuona vile ametukana matusi yote hapo.Kuwa katikati ya wajinga ni issue sana
 
Back
Top Bottom