Kachukuah...Kawekah... Waaah....!!!

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Ndo hivyo.............

Kipeja kachukua .................. kaweka.............. waaah...............

Msumeno kachukua ................... kaweka............... waaah............

Kasinde Kasie ............ kapokea............... kawekewa................. eeewaaahhh............!!!

Na wewe je? Chukua hiyo............ idake.............. waaah!!

Kama hujui machejo lazima utoke kapa.

Rahaaa utamuuu

Ever Smiling Kasie.
 
Sijui nimetoka kapa!![emoji87] [emoji87]
 
Code ngumu fafanua plz[emoji23][emoji23]
 
Umepewa treni nini? Maana'ke last time ulizawadiwa gari ndotoni kwenye birthday yako.
 
Sijui nimetoka kapa!![emoji87] [emoji87]

Polee utakuwa hujui machejo. ....ila ukikazana kuchukua na kuweka utasikia pwaah.... basi ujue tayari ushaweza.
 
Reactions: BAK
Code ngumu fafanua plz[emoji23][emoji23]

Ugumu wa code ndo utamu wenyewe kama pili pili vile inavowasha ndo utamu wenyewe kunoga.

Kazana kuweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…